Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
umekosea kidogo, ungesema natafuta mwanamke yeyote yule, mwenye umri wowote ule maana nadhani huna choice ya mtu umtakaye na pia huenda hujui umtafutae unataka awe na sifa zipi
si umchukue huyo sasa unatafuta tena mwingine wa nini?
Naomba upost kwenye blog za kibrazil ila inabidi uwe na uelewa wa lugha ya Kireno pia!!
So akija utakua unafanya comparison ama?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Leah Brown hapana sitofanya comparison yoyote, kikubwa kama unajiona unataka kufanana na huyo wa kwenye picha hapo juu.. Inakua njema page zinaanza kufunguliwa.
Nimemzidi kidogo so cjakidhi vigezo na masharti..! Hahahaaa
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Niko poowa, ningekua hivo ningekuwa wa kwanza kukutokea. hahahaa
Anapacha huyu?
Uh uh uh..! Kama umemzidi huyo ndio unafaa sasa...