Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,346
- 3,028
- Thread starter
-
- #21
Ww unataka kula ugali kwa picha ya Samaki..!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
ah ah! Emu weka kapicha kenye mfanano na wewe hapo, am happy kusia upo njema.. mambo mengine ni aje?
Duniani wawili wawili.
Hahahaha, weka yako kwanza, Nahisi ushapokea application kama mia hivi, unitafute ili nikusaidie katika mchujo wa kwanza.
Utapata shida sana kumpata maana huyo wa pili wamfano huu hadi apatikane, mh! all the best bro!
hahahaaaaa....!!!!. miaNaitaji mwana mke mwenye muonekano kama katika picha hapo chini .1. Umri usizidi 29years.2. Elimu yoyote ile, awe kasoma au hajasoma sawa.3. Dini yoyote ile.4. Kabira yoyote ile.5. Awe na kazi asiwe na kazi sawa.