Tunaomba kufahamu kwanini ndugu yetu mpendwa tulikuzoea ukapotea je ni maisha, hukuwa na simu, ulikuwa unaumwa au niniJamani mie mwana mpotevu toka 2020 sijaingia ndio nimerudi najua wengi wageni ila nilikuwepo toka 2006 hamsini kweusi wengi tumepotezana jamani mko wapi akina papak @babykibaki @jeansal6 @esmaralda @mzeemwanakijiji Mimi Mumewangu na wengineo. Mkorogo vyogo wa kurecruit wana FISIEMU ulitusambaratisha ila naona wameelewa now huu uzi ni wa nini. Waungwana nipokeeni nikumbusheni na kuwatag wahenga na wageni tuendeleze gurudumu
Yaani mkuu ukitaja tu hilo jina la DP World mimi huku BP,Shell,Caltex,Total vyote vinapanda kwa mpigo. Na siku huanza kuharibikia hapo napoteza appetite ya kula na homa inapand akwa hasira. Ndhani mpk hapo ushajua msimamo wangu, nisaidie kama kuna mahali salama nikaombe uraia nihamie huko lakini sio burudi alikosema Waziri wa MAokotoKabla ya salamu ni upi msimamo wako juu ya DP World?
Kumbuka: Msimamo wako ndio utakufanya uendelee kuwepo hapa jamvini au nikupige life ban.
Baki hapa hapa uipiganie nchi yako.Yaani mkuu ukitaja tu hilo jina la DP World mimi huku BP,Shell,Caltex,Total vyote vinapanda kwa mpigo. Na siku huanza kuharibikia hapo napoteza appetite ya kula na homa inapand akwa hasira. Ndhani mpk hapo ushajua msimamo wangu, nisaidie kama kuna mahali salama nikaombe uraia nihamie huko lakini sio burudi alikosema Waziri wa MAokoto