Mwana muccobs hebu pita hapa kwa mpigamsuli

Mwana muccobs hebu pita hapa kwa mpigamsuli

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
mimi nimechaguliwa hapo muccobs kwenye kozi fulani sasaa nilikuwa nataka mnipe maelezo ya kuhusu hicho chuo kipo wap mjini au kijijin vp hostel zipo au ndo za manati nawasilisha by mpigamsuli(mvunja nazi kwa ugoko)
 
Ee bana chuo kipo moshi town,karibu na chuo cha police CCP na old moshi secondary, hostel zipo kimtindo but haztoshi lakn ktaa kuna vyumba vya kupanga utapata vingi tu hata kama utakosa hostel ila tu nenda na rain boot maana mvua ikinyesha hapo hakuna mauzo ni full kuchafuka tope la ugoko... Nenda kakutane na totoz za kichaga bana hapo..
 
E bwana hii college ipo town kabisa Km kama mbili hivi kutoka Stand ya mabasi Moshi mjini kipo barabara ya kuelekea Hospitali ya rufaa KCMC,Hostel hazipo za kutosha kama alivyowasilisha mkuu hapo juu,Issue ni tope wakati wa mvua hua hakufai totoz zipo za ukweli,kama mtu wa kujirusha kuna Sehemu kama Alberto,La Liga na Malindi..All in All Muccobs ni bonge la college mkuu!
Nawasilisha
 
hapo kwenye mabano itakamilisha malengo yangu ya kuoa mtoto wa kichagga dah

wewe njoo usiogope bwana, ukifika tutafute watu kama sie, kuna hostel za nje ya chuo pia za kumwaga
 
hapo kwenye mabano itakamilisha malengo yangu ya kuoa mtoto wa kichagga dah

poa mwana ki2 cha BAF sio!!?? coz ndo kozi inayokimbiza kuliko zote muccobs kwa hyo swala la totoz ondoa shaka zpo za kumwaga.
 
kama mtu wa kujirusha kuna Sehemu kama Alberto,La Liga na Malindi..

mwana Malindi ni pa kikuzi siku moja nimechapwa bakora pale night na walinzi wa pale ofisi za tanesco duuh!! cwezi sahau jombaa..
 
Ila ukishuka stand ya mabasi chunga sana mzigo na mfuko wako. Kama unapenda totoz you are in trouble. Miwaya nje nje kama kwa akina nshomile.
 
Ckutarajia kama mpigamsuli na majigambo yote yale unaweza kupangwa chuo kama muccobs aisee,fanya mpango uhamie university bana.
 
Ckutarajia kama mpigamsuli na majigambo yote yale unaweza kupangwa chuo kama muccobs aisee,fanya mpango uhamie university bana.

Dah kwa dharau hujambo? Duh duh duh duh duh.
 
Ckutarajia kama mpigamsuli na majigambo yote yale unaweza kupangwa chuo kama muccobs aisee,fanya mpango uhamie university bana.

Dah kwa dharau hujambo Duh duh duh duh duh.
 
Bila shaka nilichagua sehemu sahihi na nimepelekwa sehemu sahihi,pa1 sana wana mucobs 2takua pa1....pako poa lakin jaman?
 
Wana muccobs msiogope kwa matambo ya vijana na vyuo majengo,pale 2naenda kupiga msuli,ww mwanafunz uwez kuijua muccobs lkn waajiri wanaipata hata zaid ya vyuo majengo,pamoja xana.
 
Kama walivyokuelekeza wadau wengine wapo sahihi kabisa.
Angalizo tu nakupa MUCCoBS elimu yake mziki ndugu yangu asikwambie mtu and hamna corse rahisi pale so pamoja na mishe mishe zote but jiandae kwenda kusoma kweli
 
Back
Top Bottom