Mapolomoko
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 1,751
- 422
Jet man huyu jamaa alikua bingwa wa ragamufin hapa bongo miaka ya 2000 alitamba sana na ngoma yake "pozi la kichokozi"
Weka picha yake na wimbo wake wowote mmoja.
Dah mpe pole sana. Mwambie nampa hi sana Jamaa yupo vizuri sana, nakumbumbuka nyimbo zake mbili tatu mfano kuna ule wa huyu demu mcheck pozi na twende kwa wazazi wakakuone mchumba. Mia
Sio Jet Man ni Jita Man...
Sio Jet Man ni Jita Man...
Jita man, ni wajuzi. JET nimkongwe ktk fan.