NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Leo kuna pendekezo limetolewa bungeni ambalo uwezekano wa kutekelezwa kwake ni mkubwa, pendekezo hili lita athiri sana hasa watu wa tech ambao matumizi yao ua internet ni makubwa.
Aliependekeza Si mwengine bali ni Zungu naibu spika wa bunge letu ambae aliwahi kupendekeza pia kuwe na tozo kwenye miamala na ikatekelezwa.
Leo hii kampa Nape go ahead ya kuongeza mapato ya serikali kupitia internet anayoona kwamba bado serikali haifaidiki.
Si ajabu kwamba gb 1 ikaanza kuuzwa shilingi elf 3,,,,
Je umejipanga vipi ??