Tuanahamia kwenye fiber tu. Tatizo liko wapi?Leo kuna pendekezo limetolewa bungeni ambalo uwezekano wa kutekelezwa kwake ni mkubwa, pendekezo hili lita athiri sana hasa watu wa tech ambao matumizi yao ua internet ni makubwa.
Aliependekeza Si mwengine bali ni Zungu naibu spika wa bunge letu ambae aliwahi kupendekeza pia kuwe na tozo kwenye miamala na ikatekelezwa.
Leo hii kampa Nape go ahead ya kuongeza mapato ya serikali kupitia internet anayoona kwamba bado serikali haifaidiki.
Si ajabu kwamba gb 1 ikaanza kuuzwa shilingi elf 3,,,,
Je umejipanga vipi ??
Ndio, inafahamika. Kwa hiyo option ni kuishi maeneo hayo au kufunga mnara wa internet popote ulipo.hio fiber ni kwenye majiji na maeneo yawe center
Tangu lini anayetoa huduma akala sawa na serikali yani haiwezekani mtoa huduma agawane sawa na serikali au serikali ichukue zaidi yake maana yeye ndiye analipa wafanyakazi, ana repair miundombinu na hata ikitokea hasara ya kwakrMi nlivyo muelewa kuwa yale makato wanayo pata makampun ya Sim Nape akayatizame maana wao wanakula kingi kuliko Serikali ambayo inamajukum Mengi.
Saiv ni kuamua tu ununue data au ununue chakulašLeo kuna pendekezo limetolewa bungeni ambalo uwezekano wa kutekelezwa kwake ni mkubwa, pendekezo hili lita athiri sana hasa watu wa tech ambao matumizi yao ua internet ni makubwa.