Mwana wa kamanda wa magaidi auawa shambulizi la ndege za IDF, babake Mohammed Zubeidi alitoroka gereza lenye ulinzi mkali la gilboa 2011

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

IDF wanaendelea kuyashughulikia magaidi kwa mwendokasi

Mtoto wa gaidi maarufu Zakaria Zubeidi ni miongoni mwa Wapalestina watano walioripotiwa kuuawa katika shambulio la ndege zisizo na rubani za Israel jana usiku katika Ukingo wa Magharibi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Palestina.

Wizara ya afya ya Mamlaka ya Palestina inawataja Wapalestina watano waliouawa katika mgomo huo katika eneo la Tubas kuwa ni Ahmed Abu Dawas, 24, Mohammed Abu Juma, 30, Qusay Abd al-Razeq, 26, Mohammed Abu Zagha, 23, na Mohammed Zubeidi, 21.

Mohammed Zubeidi, kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Palestina, ni mtoto wa Zakaria, ambaye Septemba 2021 alitoroka Gereza la Gilboa pamoja na wafungwa wengine sita wenye ulinzi mkali, akiongoza vikosi vya usalama vya Israel katika msako wa wiki mbili kabla ya kukamatwa.

IDF ilisema mashambulizi hayo ya ndege zisizo na rubani yalilenga wapiganaji wa Kipalestina waliokuwa wakiwafyatulia risasi wanajeshi wakati wa uvamizi katika eneo la Tubas.

Taarifa kamili hapo chini:

Son of terror commander Zakaria Zubeidi said among 5 killed in IDF West Bank drone strike

The son of notorious terrorist Zakaria Zubeidi is among five Palestinians reported killed in an Israeli drone strike last night in the West Bank, according to Palestinian media.

The Palestinian Authority health ministry names the five Palestinians killed in the strike in the Tubas area as Ahmed Abu Dawas, 24, Mohammed Abu Juma, 30, Qusay Abd al-Razeq, 26, Mohammed Abu Zagha, 23, and Mohammed Zubeidi, 21.

Mohammed Zubeidi, according to Palestinian media, is the son of Zakaria, who in September 2021 escaped from Gilboa Prison along with six other high-security prisoners, leading Israeli security forces on a two-week manhunt before being caught.

The IDF said the drone strikes targeted Palestinian gunmen who were shooting at troops during a raid in the Tubas area.
 
Kufa kila mtu atakufa hata Yesu ambaye mnasema ni Mungu wenu wakristo kisha kufa

View: https://youtube.com/shorts/Ej62dW9FoVI?si=xkwv1T5j65_4rIGt

Yesu anasema hapo hivi Yeye ni Mtume wa Mungu kapewa kitabu na kajaliwa kuwa Nabii na kapewa baraka tele, kasema pia aliusiwa na Mungu asali na atoe zakaa na kwa mama yake amfanyie kheri pale yuko hai na hakuwa mwenye kujiona au kujifanya mwenye nguvu.

Na anasema amani ilikuwa kwake siku ya kuzaliwa na pia siku ya kufa na siku akifufuliwa. Hapo anatoa tarifa kafa, nyie wakristo bakini mnamuabudu mtu aliye kufa.
 
Hawaishi tu, au hiyo nchi mianaume ya huko yote ni migaidi?
Tupeni mda tutawamaliza tu hatuuwi ovyo kama wao walivyofanya October 7. Cha msingi kiongozi wetu Benjamin alisema " kwa wa mama wote wa kiarabu kama mtoto wako alihusika na kadhia ya tarehe 7/10 kwa namna yoyote ile atalipia kwa gharama kubwa sana popote alipo duniani"
 
Kufa kila mtu atakufa hata Yesu ambaye mnasema ni Mungu wenu wakristo kisha kufa

View: https://youtube.com/shorts/Ej62dW9FoVI?si=xkwv1T5j65_4rIGt

Yesu anasema hapo hivi Yeye ni Mtume wa Mungu kapewa kitabu na kajaliwa kuwa Nabii na kapewa baraka tele, kasema pia aliusiwa na Mungu asali na atoe zakaa na kwa mama yake amfanyie kheri pale yuko hai na hakuwa mwenye kujiona au kujifanya mwenye nguvu.

Na anasema amani ilikuwa kwake siku ya kuzaliwa na pia siku ya kufa na siku akifufuliwa. Hapo anatoa tarifa kafa, nyie wakristo bakini mnamuabudu mtu aliye kufa.

Mbona povu?
 
hawezi si yeye wala USA
 
Attachments

  • IMG_4964.jpeg
    IMG_4964.jpeg
    374.3 KB · Views: 2
Hivi Mudi hakufa vile?
Asingekufa angewapataje wale manzi 72? Hao kufa ni dili. Muulize Mswati maana ya bikira atakuelewesha zaidi. Halafu imagine unafanya ngono ukimaliza awamu ya kwanza unaenda kuchota Heineken pembeni yako tu kwenye mto unao flow pombe 24/7. Hakuna kuzaa hakuna njaa wala kuzeeka ni ngono day and night
 
Eti resistance fighters siku hizi wanaitwa Magaidi!
 
Kufa kila mtu atakufa hata Yesu ambaye mnasema ni Mungu wenu wakristo kisha kufa

View: https://youtube.com/shorts/Ej62dW9FoVI?si=xkwv1T5j65_4rIGt

Yesu anasema hapo hivi Yeye ni Mtume wa Mungu kapewa kitabu na kajaliwa kuwa Nabii na kapewa baraka tele, kasema pia aliusiwa na Mungu asali na atoe zakaa na kwa mama yake amfanyie kheri pale yuko hai na hakuwa mwenye kujiona au kujifanya mwenye nguvu.

Na anasema amani ilikuwa kwake siku ya kuzaliwa na pia siku ya kufa na siku akifufuliwa. Hapo anatoa tarifa kafa, nyie wakristo bakini mnamuabudu mtu aliye kufa.

Vipi kufufuliwa. Kwani kumuamini Yesu lazima awe Mungu? ".kila aaminie Yesu ni mwana wa Mungu huyo anao ushuhuda wa Mungu ndani yake
 
IDF WANAKUHUSU WEWE ENDELEA
 
Nyie mnaona kufa ni kitu cha ajabu sana, kufa ni anytime kipo. Ikiwa Mungu wenu Yesu kafaa tusife sisi 😄
una uchung na waarab kuliko afrika yako , akili kdg hisia nying
 
Vipi kufufuliwa. Kwani kumuamini Yesu lazima awe Mungu? ".kila aaminie Yesu ni mwana wa Mungu huyo anao ushuhuda wa Mungu ndani yake
Kwani wewe uliona Gender ya Mungu? Huyo anaitwa mwana wa Maryam. Hana baba aliye wambia Yesu ana baba ni nani?
 
Back
Top Bottom