Mwana wa nje ya ndoa(mwana wa zinaa).

Shukrani kwa ufafanuzi lakini dogo anaweza kabisa kuwa anadanganya ili kukwepa majukumu maana kama hakukuwa na penetration ndani ya nonino kitaalamu ni vigumu sana bi dada kupata ujauzito. Msema kweli hapa ni DNA tu kama itafanywa bila dosari yoyote.

hakumtoa nguo yake ya ndani kwahiyo akapigapiga nje na kumaliza shida zake hapohapo nje anasema ni kwakuwa ilikuwa dogo hataki.

Alichonieleza naamini ni kweli because he is my best na na mtu wake wa karibu.

Unamuamini ulikuwa nae? kupalaza huko alipalazaje?katerero?aligusisha au laa?
Kuwa na uhakika mkapime dna yaishe..ila hiyo habari ya kupalaza palaza haina maana mkuu..!!
 
Unamuamini ulikuwa nae? kupalaza huko alipalazaje?katerero?aligusisha au laa?
Kuwa na uhakika mkapime dna yaishe..ila hiyo habari ya kupalaza palaza haina maana mkuu..!!

Akhsante mkuu nimeshaelewa.
 
bila maswali manake nini? Au hawatozi ghalama?

huyo mtoto ni wenu basi tu unaona uvivu kulea.
Yaani unataka wenzio wanunue mashine za kupimia dna na kumlipa mtenda kazi afu wewe ufanyiwe bure bila 'ghalama'!
Unapenda uslope eeh?
 
huyo mtoto ni wenu basi tu unaona uvivu kulea.
Yaani unataka wenzio wanunue mashine za kupimia dna na kumlipa mtenda kazi afu wewe ufanyiwe bure bila 'ghalama'!
Unapenda uslope eeh?

ha ha mkuu umenichekesha sana, mimi sina shida utata ni kwandugu yangu ambaye hataki kuelewa kama ni kweli au si kweli,hata hivyo nimeshapata mawazo ya kutosha nitashauliana na familia ili tumalize mgogoro .akhsanteni wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…