VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!
Umeajiriwa kumtetea JK na familia yake au ni ukenge tu unajusumbuaacha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!
Pamoja na kuwa na ufaulu wa daraja la nne points 30,akiwa na C moja,mtoto wa Mkuu wa Kaya,Mwanaasha J.K. Kikwete ameanza rasmi masomo ya kidato cha tano katika shule moja hapa jijini Dar es Salaam.Shule hiyo ambayo haipo mbali na ile aliyomalizia kidato cha nne imempokea kutokana na shinikizo toka kwa familia nambari moja Tanzania."Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kimenukuliwa chanzo cha habari hii.More to come...
acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!
acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!
Angeleta habari za kuhusu mtoto wa Dr. Slaa ingekuwa sio umbea ....acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!
kudharau kazi za wenzio haifai......
Umeajiwa kumtetea jk na familia yake au ni ukenge tu unajusumbua
Acha kudharau kazi za wenzako. Hivi wewe unafanya kazi gani, ukiitaja tutakwambia jinsi kazi yako hiyo ilivyo ya hovyo. Usidharau mwenzako
acha upuuzi wewe, kwani wewe hujawahi kwenda Bar ukahudumiwa na huyo muhudumu au hujawahi kukodi Taxi na ukaendeshwa na Dereva?
Acha kukashifu kazi za watu wewe mwenyewe unasema na financial Analysit ina maana huwa hutoi services kwa watu wanaoihitaji services kutoka kwako?
hilo mi nampongeza presidaa wetu angetaka huyo binti wake angekuwa anasoma nje toka akiwa chekechea,pia presidaa kesha ona mfumo wa kusomesha watoto ng'ambo wakiwa bado wadogo wanakosa malezi bora na kuingia katika tabia za ajabu kwa kuiga tabia na mila za ugenini ,tukumbuke watoto ni hodari wa kuiga chochote wakionache mbale yao,kwa uzoefu tu nimeona watoto wengi walioenda kusoma nje wakiwa bila ya wazazi wao wakijuhusisha katika mambo yasiyofaa na pia kuwa na tabia zinazokosa staha mbele ya tamaduni na mila zetu,mwacheni Mwanaasha asome na nafikiri kapata changamoto hatawaangusha wazazi wake pia.Mtoto wa presidaa si sawa na mtoto wa kabwela hata afeli mtihani baado njia yake haitakuwa na mabonde
Angeleta habari za kuhusu mtoto wa Dr. Slaa ingekuwa sio umbea ....
Dr. Slaa mtoto wake anamaliza chuo kikuu ardhi mwaka huu ni kichwa balaa......Angeleta habari za kuhusu mtoto wa Dr. Slaa ingekuwa sio umbea ....
Kwani mtu ukifeli kidato cha nne mara ya kwanza ndo umefeli kabisa? We have to encourage those that did not do well to fight hard and make it...Mwanaasha including.
dr slaa mtoto wake anamaliza chuo kikuu ardhi mwaka huu ni kichwa balaa......
lingine??
dr slaa mtoto wake anamaliza chuo kikuu ardhi mwaka huu ni kichwa balaa......
lingine??
acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!