Mwanaasha aanza kidato cha tano

mwanaasha alipata 4 ya point 27 na sio point 30, credit anazo zote, fuatilia matokeo yake, acha uzushi,
Haya ndiyo matokeo ya Mwanaasha JK
[TABLE="class: MsoNormalTable, width: 112"]
[TR]
[TD="width: 8%, bgcolor: transparent"]
S0298/0025
[/TD]
[TD="width: 3%, bgcolor: transparent"]
F
[/TD]
[TD="width: 24%, bgcolor: transparent"]MWANAASHA JAKAYA KIKWETE
[/TD]
[TD="width: 5%, bgcolor: transparent"]
27
[/TD]
[TD="width: 3%, bgcolor: transparent"]IV
[/TD]
[TD="width: 52%, bgcolor: transparent"]CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!

huyu rejao huwa ni namba moja kutetea familia ya raisi kwenye thread zote zinazowahusu

wey ndio utapigwa bakola kuzalaau kazi za wenzio 2015 inakaribia
 
Huyo mbona anakwenda form5 2,tena kwa kurist PRIVATE CANDIDATE.
 
mwanaasha alipata 4 ya point 27 na sio point 30, credit anazo zote, fuatilia matokeo yake, acha uzushi,
Mhhhhh, mbona wadanganya mchana kweupe alhali matokeo yako wazi!!! Kuwa FORM 5 siyo issue, je anazo sifa? na je, kama hana, atafanya mtihani na hakutakuwa na shinikizo toka juu ili apewe credit apate kufanya mtihani wa F6? Labda akasome nje, but akija uswazi university ataliwa kichwa mapema.. Mtetee sana tu ila ni KILAZA kama B..A...B.. yake mzee wa GENTLEMEN (GPA 2.7) ahaaaaaaaaaaaaaaaa
 
acha umbea otherwise utuambie wewe ni muuza bar au dereva tax!!



Hivi nyie wenzetu mnayekuza mambo mmesomea wapi?! Hata kama nje ya nchi, ina maana hamfahamu mfumo wa elimu nchini mwetu?! Hivi ni wangapi wanapata Division IV tena hata bila Credit Moja lakini wanaanza Form V huku wakitafuta credit? Binafsi, mpenzi niliyekuwa nae chuo kikuu alipata Div IV form IV lakini aka-reseat huku akisoma A-level...aka-clear akapata credit tatu zinazompa sifa za kufanya mtihani wa form VI na hivi sasa ni Lecturer! Mbona ni mambo ya kawaida sana?! Humu JF ni wangapi wana elimu za kuunga unga kama hizi?! Na hilo unalosema kwamba anaweza kushinikiza kupewa free credit; kwani alishindwa nini kufanya hivyo kwenye matokeo ya form IV?! Hivi nyie watu mnaijua power ya African President ? Hivi kwa watendaji wetu jinsi wanavyopenda kujipendekeza kwa wakubwa, unazani Presdaa hakupigiwa simu kabla ya matokeo kutolewa na kuambiwa matokeo ya binti yake?! Mi nasema hivi; JK ameonesha mfano! Tena kwa jinsi tusivyoishiwa maneno, yule binti endapo angepata Division One bado watu wangesema amepewa mitihani na kufanyia nyumbani! Hivi tunajisikiaje kumjadili mtoto mdogo ambae si ajabu hata miaka 18 hajafikisha?!
 

Mimi nafahamu angalau watano wenye stori iliyofanana hii na wala siyo kutunga.

Mmoja tulikutana anafanya phd alinipa stori iliyofanana na hiyo na yeye alikuwa mzambia. Na graduate courses zote alipata A.
 

Sio mbaya kwani labda kwa condition ya ku-resit some subjects otherwise she will not sit for ACSEE.
 
Kiukweli,Mwanaasha ana credit mbili.Hakuna mchepuo uliokaa sawa...
 
dr. Ndalichako, ona sasa mtoto wa watu bado anaandamwa. Kisa ni kutoa matokeo ya mitihani kwa kutumia majina ya watoto wetu, badili mfumo.

call a spade a spade. Kwani majina yasipotumika ukweli utafutika? Fanya utafiti ujue kwa nini necta waliacha mtindo wa kutumia namba wakatumia majina ndipo uongee.
 
kwani wauza bar au dereva tax wakoje acha kujiona wewe ukojuu wakati zinazo kufanya uonekane uko juu ni kodi za hao hao unao wabeza pumbavu kabisa...una mwita mmbea hivi ingekuwa mtoto wa mlala hoi angepokelewa kidato cha tano

Wewe ndo mmbea zaidi. Wengi tu wanaingia kidato cha tano shule za private huku wanaresit. Haijalishi ni mtoto wa mlala hoi au wa mdosi. Kalagabaho! Kama hujui kitu usiongee kutaka uonekane nawe umechangia hoja!
 
Dr. Ndalichako, ona sasa mtoto wa watu bado anaandamwa. KISA ni kutoa matokeo ya mitihani kwa kutumia majina ya watoto wetu, badili mfumo.
Mkuu wangu hata mimi naamini baadhi yetu hawamtendei haki huyu mtoto. Hatupaswi kuingilia maisha binafsi ya viongozi wetu kwa issues ambazo hazina mahusiano na kazi zao za kuwahudumia wananchi.
 
nakubaliana nawe,haya ni maisha binafsi ya familia ya JK. Kila mtu duniani anao uwezo wa akili na vipaji tofauti. Hatufanani.
 
Naona watu mnasahau .. kuna shule sikuhizi hazitumiaa mfumo wa NECTA!!! wanatumia Cambridge system ... nazifahamu shule mbili

1) Aghan Mzizima ya UPanga! ...

2)AL-muntaziri ya upanga!


kwa dunia ya sasa .. mtu mwenye hela zake na hana mpango wa kusoma bongo chuo!.. anazama kupiga Cambridge system! mwisho wa siku we na one yako ya saba upo UDSM .. yeye pamoja na four yake kafanikiwa ku pass Cambridge yupo mbelembele .... anapiga shule .. NYIE BAKINI TU NA CHUKI ZENU BINAFSI!! KUFELI FORM FOUR SIO KUFELI MAISHA & NA MSIMEZE KWAMBA BONGO SYSTEM INAYOKUBALIKA NI NECTA PEKE YAKE... :nono:
 

Sasa ulitaka aolewe???
 
mwanaasha alipata 4 ya point 27 na sio point 30, credit anazo zote, fuatilia matokeo yake, acha uzushi,
[h=3]S0298 FEZA GIRLS' SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 23 DIV-II = 7 DIV-III = 5 DIV-IV = 1 FLD = 0[/h]S0298/0025
F
MWANAASHA JAKAYA KIKWETE
27
IV
CIV-D HIST-F GEO-D KISW-D ENGL-C LIT ENG-D BIO-C B/MATH-F COMM-F
haya ndo matokeo yake msiumize kichwa mtoto wa president alijitahidi sana nasikia kwa mamake ndo kichwa kakake alisoma kibaha akakimbia baada ya matokeo ya k2 hakufaulu labda yuko nje anakula kitabu

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…