Mwanaasha aanza kidato cha tano


kweli kabisa, waeleze. Kufeli mtihani si kufeli maisha! Wangapi walipata division zero saa hizi wanapeta kwa sana? Na binti wa jk tumwache jamani, yeye ni sawa na binti yeyote wa kitanzania na matokkeo yoyote aliyopata ni yake, hayatuhusu!
 
Hivi huyu seneta ndio mtetezi wa Mwanaasha Jakaya Kikwete?au ndio dereva wake kaka utabaki kuwa dereva hadi ufe acha kumtetea kwani kapendelewa wakati credit hana ingekuwa Mbele hata kama babake ni King aisngekubaliwa lkn kwa kuwa Bongo hata mtoto au mwendawazima anaweza kuchaguliwa na ccm magamba aongoze nchi basi sishangai kwa Mwnaasha kuendelea na kidato cha tano kwani hata kama anazo credit ningekuwa mkuu wa shule hapenyezi mtu mwenye Div 4 tena ya 30.kweli Bongo haina mwenyewe
 



mkuu, kwa mtazamo wangu una chuki binafsi na binti kikwete. Umeelezwa ana points 27 na kuonyeshwa matokeo bado unang'ang'ania points 30. Unaelezwa kuwa ni jambo la kawaida mtu asiye na credits 3 kuingia form 5 huku akirudia mitihani ya form 4 hadi apate credits zinazohitajika kufanya mtihani wa form six bado unakazana kusema mwanaasha kapendelewa. Hivi una nini wewe? Kama ulikuwa hujui basi elewa kuwa kuingia form five bila credit kwa shule nyingi za private nchini ni jambo la kawaida kabisa. Hajaanza binti kikwete wala si wa mwisho. Tembelea walau shule moja tu ya private iliyo karibu na wewe ufanye research ndogo tu utapata data za kutosha kukuthibitishia kuwa usemalo hulijui. Na wakati mwingine unapotaka kueleza watu fact fulani hebu fanya utafiti kidogo ili uwe na data za kweli. Nakushauri ukomalie jambo lingine lenye mantiki acha uzushi. Na pia chuki zako binafsi zitakuumiza, zitafutie pa kuzielekeza si kwa binti huyu. Kumbuka 'anger is an acid which brings more harm to the vessel in whichi it is stored in than to the object where it is pored on'.
 
He, hivi kumbe ile ZIRO ilibadilika na kuwa FOUR YA 30, na baadaye FOUR YA 27?....au macho yangu yalichanganya namba!...ngoja nitazame, maana nakumbuka niliyasave sehem hayo matokeo! Navyofahamu mfumo wa elimu Tanzania unamtaka mtu asiyekuwa na credits 3 akariri mtihani mpaka azipate ndiyo ataruhusiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita. Mtoa mada ametanabahisha kuwa "Mwanaasha hana haja ya kutafuta 'credits' mbili" kulingana na chanzo chake cha habari, sasa inashangaza kuona mtu anatetea na kukomaa kwa nguvu zote kuwa haina ubaya kwa mwanaasha kuingia kidato cha tano, na kuwa "ni kawaida, na wengi wanaingia", kama ni hivyo mitihani inafanyika ya nini? Kufanya kitu kwa mazowea hakuhalalishi uharamu wa kitu hicho! Kuna njia nyingi za kupita kama mtu akikwama kupata credits3 hata kama amesoma saint Kayumba, kama hataki kukariri aende VETA, TARATIBU TUMEJIWEKEA WENYEWE, TUZIFUATENNI!
 
hayo maandishi ya red nani kayasema? Uzushi mtupu! Hivi bado tu mnakomaa na hii issue ya mtoto wa watu hadi lini? Simple minds discuss people. Ordinary minds discuss events. Great minds discuss ideas.
Mmmm mie napita tu.:yell:
 
hayo maandishi ya red nani kayasema? Uzushi mtupu! Hivi bado tu mnakomaa na hii issue ya mtoto wa watu hadi lini? Simple minds discuss people. Ordinary minds discuss events. Great minds discuss ideas.
Mmmm mie napita tu.:yell:

Ngoja nikusindikize.
 

mwezi May ana graduate form 6 sasa sijui na matokea yataletwa kwa mfumo wa namba au majina?
 

Jamani tumuache binti asome. Akidhurura majungu! Akienda shule majungu! Sasa tatizo la Mwana Asha ni nini? Kama shuleni wamempokea tumuache asome atatafuta Cs Mdogo mdogo huku anapiga Form 5. Tufike mahala tujadili mambo ya msingi, taarifa kama hii ipelekwe kwenye celebrities and gossips. BINTI anatumia fursa na fursa ndio hii sasa unataka awe mwizi? Auze bar? Si napo magazeti yataandika?
 
Acheni uzush,mwana asha yuko uingereza anasoma diploma ya business administration.
 
Hongera JK kwa kuonyesha uzalendo, viongozi wengine wanastahili kuiga huu mfano wa kusomesha watoto wao humu nchini kama watoto wa watanzania wengine.... Kwa hili umenifurahisha sana Mheshimiwa, ingekuwa mwingine hapa huyu binti angekuwa mamtoni sasa hivi.
 

Umesema kweli aisee
 

Huyu si kwamba haelewi hili isipokuwa ni ushabiki wa kipuuzi ndio unaomsumbua, watu wengine bhana....
 
Ataanzaje kidato cha tano wakati hata matokeo ya kidato cha nne hayajatoka?? Ama anasoma peke ake Mkuu??
 
wewe umejibu swali hujaleta majibu ya kiajabuajabu ambayo hayana prediction.wewe ningekupa like 1000 basi haiwezekani.kufeli maramoja isiwe sababu ya kumsakama.halafu wale ambao wamebahatisha kufaulu wanasema kweli watu waliofeli utafikiri ukoo wao ni maginiaz.yule ni mtu kama wewe anakosea kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…