Mwanaasha aanza kidato cha tano


Na wewe mwanao yuko wapi...?
 
Huyo kama alishindwa hapa nyumbani Hata angepelekwa nje angatuaribia tuu kodi zetu ongera kikwete kwa kuliona hilo
 

Hasomi hapa anasoma UK,ambapo kule anaishi na dada yake aitwaye Salama ambae alisomea udaktari wa meno hapo Muhimbili.
 

s0298/0025 f
mwanaasha
jakaya
kikwete
27 iv
civ-d
hist-f
geo-d
kisw-d
engl-c
lit eng-d
bio-c b/
math-f
comm-f
 
Mnajadili watu hapa halafu mnajiita great thinkers? Acheni wivu wa kijinga huo,poor you.
 
ina maana kodi yetu haikutumika kwenda kumficha ktk vi-collage uchwara UK au USA? maana wengi tulitegemea hilo.
 
itakua form5 mbezi beach ee! mana ndo advance ya karibu na hela girls
 

Hata mimi nimesoma na wenzangu walikuwa na credit moja tu ya sayansi walipoingia form five, walipiga kitabu na mwisho wa mwaka walirudia mtihani as private candidates na kupata additional credits zilizowaruhusu kufanya mtihani wa form six.

Ikumbukwe awe binti JK au nani bila ya credits muafaka huwezi kufanya mtihani.

By the way:
huo msemo uliouquote kuwa unatoka kwa Zitto Kabwe siyo wake original - unatoka kwenye kitabu cha Shaaban Robert cha Kusadikika (I cannot deny the truth for fear of momentary loneliness and thereby deprive myself of the everlasting union that is expected to appear after the defeat of falsehood - tafsiri yake kwa kiingereza)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…