johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hiyo ndio nguvu ya chama tawala bhana pitia ilani ya uchaguzi ujisomee kipengere kinachohusu michezo.
Simba hoyeee
Michezo haina vyama!
Simba hoyeee
Michezo haina vyama!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo tumemuona, hivi Makonda alikuwapo?Hiyo ndio nguvu ya chama tawala bhana pitia ilani ya uchaguzi ujisomee kipengere kinachohusu michezo.
Simba hoyeee
Michezo haina vyama!
Kwa uzalendo huu itabidi afikiriweMashamba yake vipi ?
Mashamba ya mkongeMashamba yake vipi ?
Makonda, Mwigulu na Mbowe ni Yanga wale
Usitu letee u ccm hapaHiyo ndio nguvu ya chama tawala bhana pitia ilani ya uchaguzi ujisomee kipengere kinachohusu michezo.
Simba hoyeee
Michezo haina vyama!
Wamekudhulumu niniHahahaa sio kweli.
Hawezi kuwa pamoja na hilo genge la wadhulumati wauaji wanaomnyang'anya mashamba yake
Kama Makonda ni Yanga, basi kweli Michezo haina chama!!Makonda, Mwigulu na Mbowe ni Yanga wale
Simba hoyeee!!!!!!
Hakika mkuu....... Wewe uliwahi kujua kuwa Lowassa ni Yanga?!
Hahahaa....... Umekwazika?Usitu letee u ccm hapa
Simba kila mtu Anachamachake bn usiwe unasema ivoHahahaa....... Umekwazika?
Simba hoyeee........ Ufipa hoyeee!
Hahahaa........ Yanga ni timu ya Nyerere ndio maana Mwinyi Yanga, Mkapa Yanga, Kikwete Yanga nk!Aisee! Mi nilikuwa najua Yanga ni timu ya ccm! Na hilo ndilo lililonifanya niache kuishabikia japo nilikuwa naipenda sana! Hadi sasa huwa nashindwa kujua tofauti ya bendera ya Yanga na ya ccm,na hilo linanifanya nikae nayo mbali mno!! Yanga imekaa ki ccm ccm! Kama Mbowe naye yuko huko Itabidi tumtazame kwa jicho la tatu! Siasa popote!!