Mwanaccm MO Dewji atekeleza ilani ya CCM kwa vitendo hadi mwisho wa mchezo Simba 1 Al ahly 0

Siasa kando,kwa ushindi wa leo simba wamejiweka katika nafasi nzuri kufuzu hatua inayofuata,especially kama wale JS Saoura watashinda ama kutoa sare!!
 
Aisee! Mi nilikuwa najua Yanga ni timu ya ccm! Na hilo ndilo lililonifanya niache kuishabikia japo nilikuwa naipenda sana! Hadi sasa huwa nashindwa kujua tofauti ya bendera ya Yanga na ya ccm,na hilo linanifanya nikae nayo mbali mno!! Yanga imekaa ki ccm ccm! Kama Mbowe naye yuko huko Itabidi tumtazame kwa jicho la tatu! Siasa popote!!
 
Hahahaa........ Yanga ni timu ya Nyerere ndio maana Mwinyi Yanga, Mkapa Yanga, Kikwete Yanga nk!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…