MwanaCHADEMA mwenye nia ya kugombea ubunge 2025 kwenye majimbo yafuatayo ni vyema akaachana na huo mpango. Tayari yana wenyewe

Jimbo la Iringa mjini liko wazi kwa mwanachadema mwingine kugombea baada ya Msigwa kuhamia chama kubwa.
 

Ng'umbu kasema mmeshachakata kila kijiji na kitongoji nchi nzima acheni maigizo ya kujustify uovu wenu, ushindi wa ccm sio mpaka Mungu apende!
 
Iringa mjini
 
Msigwa kapitishwa bila kupingwa Iringa Mjini
 
Hakuna atakaewachagua.Yaani uchague watu ambao watakuja kusababisha Serikali isitoe pesa kisa njaa zao?

Sabaya amesema wazi mkichagua Wapinzani tarajieni wao ndio watoe pesa za Ilani zao ila ccm haiwezi toa pesa kwenye Maeneo ya Wapinzani
Kumbe kuna pesa zinazotuhusu wananchi? Huwa zinatolewa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…