Huwa u napenda sana kukashfu watu hasa kwa maumbile yao nakusahau kbsa kuwa niuumbaji wa mungu. Unaenda mbali sana. Naamini kwabulichokisema ata nafc yako itakusuta. Mungu akusamehe bure.
usipanic bab na wala usiwe na inferiority complex...kuna sehemu yeyote nimesema jamaa ana kichwa kibaya au mwili mbaya?!kwani kusema kitu ni kidogo au kikubwa ni kukashifu?ni sifa tu hiyo!mbona mimi watu wananiambia ni mrefu na mweupee lakini sichukii!