Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Joto la Uchaguzi wa Serikali za mitaa linazidi kuwa kali na hii ni baada ya mwanachama mmoja wa CHADEMA kufichua mbinu mpya wanayotumia CCM kuiba na kupora uchaguzi.
Kwenye kikao na baadhi ya viongozi wa TAKUKURU, mwananchi huyo amedokeza kuwa CCM tayari imeshaanza kampeni na kwamba kwa sasa inachukua namba za wanafunzi kutoka kwenye shule mbalimbali na kuanza kuwatumia message kuwa wapigie kura CCM kwenye uchaguzi ujao.
Soma pia: Lema wa CHADEMA afichua madudu mazito kwenye zoezi la uandikishwaji wa wananchi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
"Viongozi wa CCM hawa wanaomaliza muda wao wamekuwa wakipita mashuleni katika shule mbalimbali za Sekondari. Sasa imefanywa siri lakini imejulikana baada ya kutaja namba simu, wengi wao hawana namba za simu, hawamiliki simu wamekariri namba za wazazi wao."
"Kwa hiyo wazazi wanapata jumbe mbalimbali za kuombwa kura kupitia watoto wao walioandikishwa mashuleni. Kwa hiyo hizo ni rushwa ambazo tayari tumeziona na zinaendelea huko mitaani."
CCM mbona mpo desperate sana kushinda uchaguzi hadi mnatumia watoto walioko mashuleni? Ni uoga au nini?