Joto la Uchaguzi wa Serikali za mitaa linazidi kuwa kali na hii ni baada ya mwanachama mmoja wa CHADEMA kufichua mbinu mpya wanayotumia CCM kuiba na kupora uchaguzi.
Kwenye kikao na baadhi ya viongozi wa TAKUKURU, mwananchi huyo amedokeza kuwa CCM tayari imeshaanza kampeni na kwamba kwa sasa inachukua namba za wanafunzi kutoka kwenye shule mbalimbali na kuanza kuwatumia message kuwa wapigie kura CCM kwenye uchaguzi ujao.
"Viongozi wa CCM hawa wanaomaliza muda wao wamekuwa wakipita mashuleni katika shule mbalimbali za Sekondari. Sasa imefanywa siri lakini imejulikana baada ya kutaja namba simu, wengi wao hawana namba za simu, hawamiliki simu wamekariri namba za wazazi wao."
"Kwa hiyo wazazi wanapata jumbe mbalimbali za kuombwa kura kupitia watoto wao walioandikishwa mashuleni. Kwa hiyo hizo ni rushwa ambazo tayari tumeziona na zinaendelea huko mitaani."
CCM mbona mpo desperate sana kushinda uchaguzi hadi mnatumia watoto walioko mashuleni? Ni uoga au nini?
Kabisa, ni upuuzi wa hali ya juu kushiriki uchaguzi ambao watu wanapanga matokeo. Sisi wananchi tunaojitambua hatuwezi kuendelea kushiriki huo ushenzi uitwao uchaguzi.

Hao wana CHADEMA kama huyo wakiwa kila sehemu ndani ya nchi hii; hasa huko vitongojini; kazi ya kuwaondoa CCM ...; EEeenHEEeee, ngoja niazime msemo; "ingekuwa nyepesi kama..."
Ngoja nikwambie jambo: katika historia ya nchi hii, tokea uhuru, hakuna hata mara moja ambapo CCM imeweka matumaini yake yote kurudi madarakani kwa kila mbinu chafu iwezekanayo kama hii inayo andaliwa chini ya Samia. Bila hivyo, hakuna matumaini tena kwa Samia kuendelea kuwepo madarakani.

Inasikitisha sana.
Tulitegemea chama kinacho onekana kujitambua kuwaongoza wananchi "wanao jitambua" kukataa hayo ya "kupanga matokeo"; lakini na wao naona sijui imekuwaje tena; maana dalili hazionyeshi kuwa wanajitambua!
Bado nasisitiza: kutopiga kura waTanzania wengi kadri iwezekanavyo ni kuwakubali CCM bila ya pingamizi. Hata siku moja hilo sitalikubali.
Ni bora waharibu kura yangu iliyo wakataa, kuliko kuwakubali kwa kuacha kupiga kura.

Na wanapenda sana hiyo CCM, kwa sababu watakao kwenda kuwapigia kura hao wachache, ushindi wao utaonyesha asilimia 90 ya wapiga kura ikiwakubali.
Hata kama ni wapiga kura milioni tano wakijitokeza kupiga kura, wao wataangalia tu hiyo asili mia 90 ya waliopiga kura.
Hao wana CHADEMA kama huyo wakiwa kila sehemu ndani ya nchi hii; hasa huko vitongojini; kazi ya kuwaondoa CCM ...; EEeenHEEeee, ngoja niazime msemo; "ingekuwa nyepesi kama..."
Ngoja nikwambie jambo: katika historia ya nchi hii, tokea uhuru, hakuna hata mara moja ambapo CCM imeweka matumaini yake yote kurudi madarakani kwa kila mbinu chafu iwezekanayo kama hii inayo andaliwa chini ya Samia. Bila hivyo, hakuna matumaini tena kwa Samia kuendelea kuwepo madarakani.
Ninge kubaliana na wewe pasipo shaka yoyote kama ningesikia sauti kama hiyo ya Mzee Warioba toka kwa CHADEMA kila kona ya nchi.
Wakti ni huu kuwa eleza wananchi, hayo anayo yasema Warioba, lakini sisikii chochote hadi sasa!
Ni wananchi pekee ndio wanaoweza kuwakomesha CCM, lakini hawapati ushirikiano toka kwenye hivi vyama vinavyo jitambulisha kuwa vya upinzani; kwa bahati mbaya sana, hata CHADEMA ikiwa moja wapo!
Sijui kimetokea kitu gani huko ndani ya chama hiki.