Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Oct 4, 2024 #21 Phdum said: Na nyie piteni mashuleni. Click to expand... Tutaambiwa ana mutungi tuwaache watoto wasome
Phdum said: Na nyie piteni mashuleni. Click to expand... Tutaambiwa ana mutungi tuwaache watoto wasome
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,635 Reaction score 2,271 Oct 4, 2024 #22 Nani anaruhusu kufanya kampeni kabla ya muda wake kufika??
D drilling JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 4,761 Reaction score 4,926 Oct 4, 2024 #23 Uchaguzi utakavyoendeshwa ya kuwachagua madiwani na wenyiviti serikali za mitaa jinsi mtakavyoona matokeo yanavyoenda na mkashidwa kuzuia wizi wa kura basi mjue na uchaguzi wa rais na wabunge ni hivyo hivyo mtapigwa chini mjifunze mapema
Uchaguzi utakavyoendeshwa ya kuwachagua madiwani na wenyiviti serikali za mitaa jinsi mtakavyoona matokeo yanavyoenda na mkashidwa kuzuia wizi wa kura basi mjue na uchaguzi wa rais na wabunge ni hivyo hivyo mtapigwa chini mjifunze mapema