Mwanachama mpya, nikaribisheni

Mwanachama mpya, nikaribisheni

Brightson brighton1

New Member
Joined
Feb 16, 2023
Posts
4
Reaction score
1
Helllow jamani wana jamii forum mimi naitwa Brightson Brighton nimwanachama mpya wa jamii forum naombeni mnipokee na tushirikiane kwa pamoja đź‘‹
 
Akina bright, clever etc hayo majina mnatakiwa darasani kuyafanyia kazi maana haiwezekani mtu anaitwa hayo majina afu darasani ana changamoto na ule utaratibu wa kusoma wa kwanza had wa mwisho sio rafiki kwa hayo majina.

Karibu jf.
 
Hebu weka kapicha kako hapo mjomba tukujue maana naona utambulisho wako una mapengo haujakamilika
 
Back
Top Bottom