B Brightson brighton1 New Member Joined Feb 16, 2023 Posts 4 Reaction score 1 Feb 17, 2023 #1 Helllow jamani wana jamii forum mimi naitwa Brightson Brighton nimwanachama mpya wa jamii forum naombeni mnipokee na tushirikiane kwa pamoja π
Helllow jamani wana jamii forum mimi naitwa Brightson Brighton nimwanachama mpya wa jamii forum naombeni mnipokee na tushirikiane kwa pamoja π
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Feb 18, 2023 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Feb 19, 2023 #3 Karibu
kapyoko JF-Expert Member Joined May 10, 2022 Posts 1,365 Reaction score 2,134 Feb 19, 2023 #4 Karibu saana
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 21, 2023 #5 Karibu sana JamiiForums...
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,160 Reaction score 21,676 Feb 21, 2023 #7 Akina bright, clever etc hayo majina mnatakiwa darasani kuyafanyia kazi maana haiwezekani mtu anaitwa hayo majina afu darasani ana changamoto na ule utaratibu wa kusoma wa kwanza had wa mwisho sio rafiki kwa hayo majina. Karibu jf.
Akina bright, clever etc hayo majina mnatakiwa darasani kuyafanyia kazi maana haiwezekani mtu anaitwa hayo majina afu darasani ana changamoto na ule utaratibu wa kusoma wa kwanza had wa mwisho sio rafiki kwa hayo majina. Karibu jf.
M Mzalendo120 JF-Expert Member Joined Jul 2, 2022 Posts 1,842 Reaction score 2,410 Feb 21, 2023 #8 Hebu weka kapicha kako hapo mjomba tukujue maana naona utambulisho wako una mapengo haujakamilika