Mwanachama Mpya.

DEFAMATION

Senior Member
Joined
Jun 19, 2017
Posts
110
Reaction score
69
Habari wana JF. Ni matumaini yangu kuwa mko poa wote humu ndani na mnapambana na majukumu ya hapa na pale.

Kiukweli, ni jambo la kushukuru sana kwa kuwa tuko safi na wenye afya njema.

Bila kuzunguka sana.Mimi ni mwanachama mpya wa JF na nipenda kujiunga ili tuweze kujadili mambo mbalimbali yanayogusa Jamii yetu bila kubagua tabaka fulani.

Naomba ushirikiano wenu ndugu zangu.

Nawashukuru sana wakubwa kwa wadogo.

Ahsanteni!
 
Karibu sanaa mgeni.
hakikisha password zako za jf unaziweka hapa tuzijue[emoji12] [emoji12]
 
Maajabu, nimesoma comments zote sijaona aliyekuuliza jinsi/sex, maana hilo swali huwa ni kawaida sana kwa yeyote anayejiita mgeni hata kama yumo humu kafungua tu ID nyingine
 
!
!
Ndugu mgeni wewe ni unatoka kundi gani kiasili "River Mbaji" au "River Mbwaji"?
Gonga like kama umeisoma Code
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…