mwanachama mpya

ROBERT MICHAEL

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
5,054
Reaction score
2,858
Habari wana JF, naomba mnipokee maana mm ni member mpya, mara nyngi nlikuwa napita knye JF,sasa na mm ni memba mpya.asanteni
 
Habari wana JF, naomba mnipokee maana mm ni member mpya, mara nyngi nlikuwa napita knye JF,sasa na mm ni memba mpya.asanteni

Umekosea sana kuingilia huku kwenye siasa, subiri nimtafute Globu akuelekeze chumba cha wageni.
 
Last edited by a moderator:
Umekosea sana kuingilia huku kwenye siasa, subiri nimtafute Globu akuelekeze chumba cha wageni.

Ahsante Kamanda Katavi. Nimefika, karibu sana mgeni. Chumba chake cha uwani kiko tayari.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…