Mwanachama mpya

Mwanachama mpya

Zeyutong

New Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
3
Reaction score
1
Jamani naomba mnipokee kwenye jamvi hili, Mimi ni mwanachama mpya naomba tushirikiane
 
Jamani naomba mnipokee kwenye jamvi hili, Mimi ni mwanachama mpya naomba tushirikiane

Karibu sana zeyutong ndugu yetu tunakukaribisha kwa moyo mmoja na wa dhati japo sisi mda mwngi ni wachangiaji tu ila kuna wenyeji pia watakukaribisha na huenda wakadai ni kwa moyo wa dhati kama sisi ila usiwaani maana ni vigeugeu na wasomi wasiojielewa kama kina Ch. mkosi na kina Rzzzz... Tunaomba mchango wako
 
Back
Top Bottom