Karibu sana zeyutong ndugu yetu tunakukaribisha kwa moyo mmoja na wa dhati japo sisi mda mwngi ni wachangiaji tu ila kuna wenyeji pia watakukaribisha na huenda wakadai ni kwa moyo wa dhati kama sisi ila usiwaani maana ni vigeugeu na wasomi wasiojielewa kama kina Ch. mkosi na kina Rzzzz... Tunaomba mchango wako