BwanaCarlosTz
Member
- Oct 7, 2026
- 33
- 43
Karibu kiti ukae,kuhusu begi usijari shemeji Yako atakuhifadhia chumba Cha watoto maana utakua ukilala huko,afu hivo viroba vya Michele na unga watakuwekea jikoni,karibu sana uwe huruHelloww guys!! i hope mko poa, mimi ni mwanachama mpya gen Z, mwenzenu, nilikuwa nauliza hivi mabeg niweke wapi???