Mwanachama Proton Pump huyu jamaa ni Hazina ya Taifa

Mwanachama Proton Pump huyu jamaa ni Hazina ya Taifa

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Wakuu hii nchi ingekuwa na watu kama huyu proton pump aisee nchi ingesonga mbele itoshe kusema huyu jamaa ngoja nimpe maua yake hata kabla hajafa mwisho nakaonekana mnafiki jamaa ana madini sana Aisee hatari kiukweli kupitia yeye 90 percentage ya matatizo yangu yanaenda kupona!

Shukrani Sana mkuu proton pump you are genius 🙌🙌🙌

Utasikia watu wenye hoja dhaifu kwamba najipia promo! Hahaha.
 
Mbona umejistukia mkuu inawezekana ukawa unajipa promo kweli au ukweli jamaa akawa ana jambo ila ukimpa kitengo sasa ndio ukaona marangi rangi unadhani wale waliopo vitengo mnao waona mabogas unadhani mabogas kweli ila ndio hivyo tena
 
Wakuu hii nchi ingekuwa na watu kama huyu proton pump aisee nchi ingesonga mbele itoshe kusema huyu jamaa ngoja nimpe maua yake hata kabla hajafa mwisho nakaonekana mnafiki jamaa ana madini sana Aisee hatari kiukweli kupitia yeye 90 percentage ya matatizo yangu yanaenda kupona!shukrani Sana mkuu proton pump you are genius 🙌🙌🙌

Utasikia watu wenye hoja dhaifu kwamba najipia promo! Hahaha.
Matatizo yako unayajua mwenyewe, hoja zilizosaidia matatizo yako kutatulika unazijua mwenyewe, unaonaje kama ungeyaweka hayo matatizo yako na hoja zilizotatua hapa jukwaani ili nasi tuzipime au zitusaidie kutatua matatizo yetu?
 
Sa si useme amekufanyia nini huyo proton ili tukuelewe,

kusema tu ana madini haitoshi maana hata yule chawa wa kule mbeya somebody mwashabwa sijui nae atasema ana madini hapa jf
 
Wakuu nilikuwa na depression,stress, overthinking, anxiety,low self esteem, inferiority and post traumatic syndrome! Mdau@proton pump ameni counsel now naanza kupata relief
 
Wakuu hii nchi ingekuwa na watu kama huyu proton pump aisee nchi ingesonga mbele itoshe kusema huyu jamaa ngoja nimpe maua yake hata kabla hajafa mwisho nakaonekana mnafiki jamaa ana madini sana Aisee hatari kiukweli kupitia yeye 90 percentage ya matatizo yangu yanaenda kupona!

Shukrani Sana mkuu proton pump you are genius 🙌🙌🙌

Utasikia watu wenye hoja dhaifu kwamba najipia promo! Hahaha.
Wewe unafikiri watu smart hawapo? Inategemea mtawala anataka nini. Kiujumla watu smart africa au ulimwengu wa tatu hawatakiwi.
 
Si wote tunafahamu.

Weka taarifaa zake kwa uchache, tutazame.

Wakati mwingine wamuona Mtu anamadini sana, kutokana na kiwango Chako Cha madini ulichonacho.
 
Mbona umejistukia mkuu inawezekana ukawa unajipa promo kweli au ukweli jamaa akawa ana jambo ila ukimpa kitengo sasa ndio ukaona marangi rangi unadhani wale waliopo vitengo mnao waona mabogas unadhani mabogas kweli ila ndio hivyo tena
wewe mtu una kitu kikubwa sana ktk mawazo yako, ila una_TUFICHA. help for your AFRICA bro.
 
Wakuu nilikuwa na depression,stress, overthinking, anxiety,low self esteem, inferiority and post traumatic syndrome! Mdau@proton pump ameni counsel now naanza kupata relief
Na mimi naku counsel acha bangi
 
Back
Top Bottom