Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Matatizo yako unayajua mwenyewe, hoja zilizosaidia matatizo yako kutatulika unazijua mwenyewe, unaonaje kama ungeyaweka hayo matatizo yako na hoja zilizotatua hapa jukwaani ili nasi tuzipime au zitusaidie kutatua matatizo yetu?Wakuu hii nchi ingekuwa na watu kama huyu proton pump aisee nchi ingesonga mbele itoshe kusema huyu jamaa ngoja nimpe maua yake hata kabla hajafa mwisho nakaonekana mnafiki jamaa ana madini sana Aisee hatari kiukweli kupitia yeye 90 percentage ya matatizo yangu yanaenda kupona!shukrani Sana mkuu proton pump you are genius πππ
Utasikia watu wenye hoja dhaifu kwamba najipia promo! Hahaha.
KampumpMbona hujaweka mazuri yake??
Wewe unafikiri watu smart hawapo? Inategemea mtawala anataka nini. Kiujumla watu smart africa au ulimwengu wa tatu hawatakiwi.Wakuu hii nchi ingekuwa na watu kama huyu proton pump aisee nchi ingesonga mbele itoshe kusema huyu jamaa ngoja nimpe maua yake hata kabla hajafa mwisho nakaonekana mnafiki jamaa ana madini sana Aisee hatari kiukweli kupitia yeye 90 percentage ya matatizo yangu yanaenda kupona!
Shukrani Sana mkuu proton pump you are genius πππ
Utasikia watu wenye hoja dhaifu kwamba najipia promo! Hahaha.
wewe mtu una kitu kikubwa sana ktk mawazo yako, ila una_TUFICHA. help for your AFRICA bro.Mbona umejistukia mkuu inawezekana ukawa unajipa promo kweli au ukweli jamaa akawa ana jambo ila ukimpa kitengo sasa ndio ukaona marangi rangi unadhani wale waliopo vitengo mnao waona mabogas unadhani mabogas kweli ila ndio hivyo tena
Inawezekana nikawa nnacho ila sijakujua amini ya kwamba ila najiona sina lolotewewe mtu una kitu kikubwa sana ktk mawazo yako, ila una_TUFICHA. help for your AFRICA bro.
Na mimi naku counsel acha bangiWakuu nilikuwa na depression,stress, overthinking, anxiety,low self esteem, inferiority and post traumatic syndrome! Mdau@proton pump ameni counsel now naanza kupata relief