Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Mwanachama wa Jumuiya ya Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Jamila Ally Ashery kutoka wilaya ya Dodoma Mjini amesema CCM ikisherehekea miaka 48 inajivunia rekodi ya kutekeleza Ilani ya uchaguzi kupitia Wizara mbalimbali za Serikali. Ameongeza kuwa, uteuzi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea wa Urais kutaendelea kukiimarisha chama hicho.
Sherehe za maadhimisho ya miaka 48 ya CCM zitafanyika katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma tarehe 05 Febuari 2025; Mgeni Rasmi ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.