Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Natoa wito kwa team G 55 watafakari uamuzi wao na kufanya maamuzi sahihi ambayo ni kurudi Chadema na kutafuta muafaka na kulijenga taifa letu kizalendo na sii kichawa kama wafanyavyo ccm na matawi yao.Grace Chalz Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15
Ametubu.Jamani c tulikubaliana kila aliyepo ccm n shetani na hafai kwenye jamii, inakuaje mnampokea huyo dada?
Chadema bhana 😂Ametubu.
Atuwataki sisi wakunja ngumiNatoa wito kwa team G 55 watafakari uamuzi wao na kufanya maamuzi sahihi ambayo ni kurudi Chadema na kutafuta muafaka na kulijenga taifa letu kizalendo na sii kichawa kama wafanyavyo ccm na matawi yao.
Asijekuwa pandikizi! Mwisho wa siku anaimba "narudi nyumbani"Grace Chalz Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
ameachana na kazi zote za shetani CCM mikono yake ipo safi kwasasaJamani c tulikubaliana kila aliyepo ccm n shetani na hafai kwenye jamii, inakuaje mnampokea huyo dada?
Kama ambavyo lowassa aliachana na kazi zote za shetani ccm akaja kwenu, ila baada ya kuona sura yenu halisi akaamua kumrudia shetani mana Ana afadhali kuliko nyie 😂ameachana na kazi zote za shetani CCM mikono yake ipo safi kwasasa
C tulikubaliana hakuna ccm mwenye uwezo wa kuwa chadema mana wote wale ni mashetaniKuna msululu mkubwa unakuja CHADEMA majina tunayahifadhi kwanza.
lowasa alilazimishwa kurudi ccm na dikteta hayatiKama ambavyo lowassa aliachana na kazi zote za shetani ccm akaja kwenu, ila baada ya kuona sura yenu halisi akaamua kumrudia shetani mana Ana afadhali kuliko nyie 😂
Sio wanaccm wote ni wabaya.C tulikubaliana hakuna ccm mwenye uwezo wa kuwa chadema mana wote wale ni mashetani
ccm haiwezi kua na mwanachama lofa kama huyo gentleman,Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15.
Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3332025
Huyu Kwa anavyoongea, ni wazi alikua na Moyo wa kichadema Toka awali, na anataman sana kutumia Karama yake kuwatumikia Watanzania .Grace Rwemamu ambaye aliwahi kugombea Ubunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki mwaka 2017 leo ametangaza kukihama chama cha Mapinduzi CCM chama ambacho amekitumikia kwa miaka 15.
Grace amepokelewa mbele ya Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche katika mkutano wa hadhara huko Nyamagana
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
View attachment 3332025
Ila pia wakumbuke kutochanga hata uharo wachange mawazo yenye uzalendo kwenye ujenzi wa taifa na sii ujenzi wa tumbo za chawa,machawa na wabugia kwa urefu wa kamba.Wanasiasa wakati wa kuchanga karata zao ni sasa