TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Hapa topic ni msiba. Atayetoka nje ya topic apeleke bangi zako mbele huko. Ndio maana tunawaita Baraza la vichaa chadema. Hapa watu wanazungumza mambo ya msiba,na yoyote atakayeondoka nje ya mada ya msiba ni mwehu. Inna lillah waina ilayhi rajiuun. Mwenyeezi Mungu amsamehe madhambi yake amtayarishie makazi mema huko endako
 
Aisee! Pole nyingi kwa wafiwa. Kwaiyo itakuwaje mgombea mwenza atapita bila kupingwa au?
 
Hii taarifa nimeipokea kwa masikitiko sana. Mungu aipumzishe roho yake mahala pema.
 
Nimesikitika sana kwa kweli. Mungu akupumzishe, lakini zaidi ainue mwingine kuendeleza mbio zako
 
Ni ajali au ni ajaliwa??? Roma Mkatoliki???? Si ndiye kawaimba???? Huyu dogo si alipata ajali juzi morogoro?????
 
NI vigumu kukubali kuwa Kamanda Mtoi hatuko naye na hatutamuona tena hapa Duniani. Ila inabidi tukubali ukweli huu.. Hakika duniani tunapita. Pumzika kwa amani kaka yetu Mohamed Mtoi!!
 
RIP Mohamed Mtoi, wengine tumekujua tu humu JF lakini kifo chako kimetugusa sana
 
Wachagga washafanya yao kama kawaida na ndio mtajua maana ya rangi nyekundu kwenye bendera ya hicho KITEGA UCHUMI CHA MTEI _CHAGGADEMA.
 
Inalilah wainnalilah rajiuun,, kila nafsi itaonja umauti, kwa hakika maandiko yametimia, upumzike kwa amani mtoi,,, tulibishana kwa hoja mbalimbali humu na ulikuwa mwenzetu katika kupigania taifa letu lisonge mbele...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…