TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

Oooh noooo! Rest in peace Kamanda.
 
He is my teacher amenifundisha nimeumia sana kwakweli yaan leo ni siku mbaya sana kwangu
 
Ni kweli tunaomba wagombea bila kujali vyama wasiendeshe magari wenyewe ...hizi kampeni ni ngumu ...HATA mkiona Mtu anaishiwa nguvu Kama ilivyowahi kutokea HUKO nyuma Sio jambo la ajabu..
Kikubwa ni Ile Hali ya Mwili tu kuchoka

Najiuliza tu,
Je kamanda Mbowe angekuwa anendesha gari siku ile aliyougua ghafla na kuzima akiwa kwenye msafara wa Lowassa kuchukua fomu mambo yangekuwake?
Ajali ile ingeleta tafrani.
Katika pilika hizi wagombea wawe na madereva
 
Ee Mwenyenzi Mungu muumba wa Mbingu na Nchi........Sina budi kukulilia Bwana!! Hakika kila litendekalo chini ya hili jua ni kusudi lako Bwana wa majeshi

Umezima taa,mwanga tegemeo la wengi katika Nchi yetu,mpe mapumziko mema shambani mwako Bwana wa Majeshi.....mpe apumzike salama Mungu wetu!

Hakika Muhamedi Mtoi tulikupenda sana ila Bwana Mungu kakupenda zaidi..........pumzika kwa Amani Kamanda wetu! Tuko nyuma yako Kamanda!!
 
Pumzika kwa Amani Bro,mwenyezi mungu bariki familia ya marehemu.AMEN
 
Leteni habari za Uhakika na si za kushadadia kifo..
 
Wachagga washafanya yao kama kawaida na ndio mtajua maana ya rangi nyekundu kwenye bendera ya hicho KITEGA UCHUMI CHA MTEI _CHAGGADEMA.

Uwe na adabu pumbavu,shenzi wewe ajali ngapi zinatokea hapa Tanzania na dunian kote.Unatakiwa utambue kuna maisha baada ya siasa.
 
Wachagga washafanya yao kama kawaida na ndio mtajua maana ya rangi nyekundu kwenye bendera ya hicho KITEGA UCHUMI CHA MTEI _CHAGGADEMA.

Mkuu kwenye mambo ya kusikitisha kama haya hizo siasa za maji taka hatuzitaki.. kama wewe kifo unaona ni kitu cha kawaida bora ukae kimya. aliefariki ni mwenzetu hapa lakini bado unaleta upuuzi. sijui wengine mna akili gani
 
Hakuna wa kuziba hili pengo kamanda umeondika katika kipindi tunakuhitaji katika kipindi chochote
Kile r.i.p kamanda
 
I dedicate this one to my dawg: Mtoi now that your gone.

"Now That You're Gone"

[Intro:]
It's a tough one right here
A real tough one
For everybody that lost somebody
Ya know.

[Chorus:]
What will I do baby, now that you're gone
You're gone
What will I do baby, not that you're gone (Gone)
You're gone (Gone)
[Southstar talking over chorus]
What am I gonna do?
You know I miss you
You know I love you ma
[Smilez (Southstar)]

Dear mom, I know you're proud your sons doing good (Yeah)
But I return it all for just one hug ( I would)
Your oldest son and daughter they doing good
We all sticking together like we should (Family)
Introduce me to the lord when I have no cares
Mad at the world like life ain't fair
I remember you said only the lord I should fear (I do)
And with that my stormy weather would be clear
Lord how could you take somethin' so precious
Against our prayers, cares, and strong wishes (How could you)
I know now ma you livin' through your kids
And if I look at my heart there you is
I can't believe that you're gone you was my best friend
My mother my father everything that I am (Word)
I love you, mom you's my guardian angel
I can't wait to see your pretty face real soon (Rest in peace)

[Chorus]

[Southstar]
1999, I lost my son
That day I felt I lost my mind
Victim of a still birth, man it still hurt
Until this day memories still lurk (Yeah)
I think to myself 'bout what could it been (Uh-huh)
It makes me realize that life is thin
And I promise that you'll always live on
Especially, with your name tattooed on my arm
And Breaks, dog I can't believe that you're gone
Can't believe I gotta mention your name on this song (Man)
Seems like yesterday we was jokin' around
Always had a smile on your face, never a frown (Yeah)
You told me, "Star keep holdin' it down"
You got too much talent to be quittin' it now
So, cause of you I stayed in this game (That's right)
I'ma make sure no one forgets your name (Rest in peace Breaks)

[Chorus]

[Southstar]
I still don't know how I got by (Uh)
All of these hard times I took it and strive
Turn to the pad grab my pen (Uh-huh)
And said that "I would enjoy my life to the end (That's right)
And no matter what, I keep my head up
Pursue my dreams and never get fed up
So, when I hear this put up my fist (Yeah)
To let ya know that you'll always be miss (Oh)

[Smilez]
It took so long to write these stors
It's so dang hard to lose a love
I'm gon' stay strong and pray to the lord
Cause everything he does is for a cause (Yeah)
Adam Ikenser, that was my dog (My nigga)
I won't forget those wild times in football
You won't be forgotten man, that's for sure
Pour out a little liquor for all of y'all.

[Chorus 2x]

[Outro:]
[Southstar and (Smilez) talking in background of chorus]
Yeah, dedicate this one to my son Malik
Rest in peace I see you baby
(Yeah, dedicate this one to my mother Gloria
I miss you, I miss you)
To my dog Breaks I knows you're watchin' my back
I always watch yours, you heard Yeah
(My man Adam Ikenser and my dog, we all miss you
Man all your boys miss you know that man, uh).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…