Mwanachama wa UWABATA akitekeleza Ilani ya Chama

Mwanachama wa UWABATA akitekeleza Ilani ya Chama

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Nimefurahi sana kuona mwanachama mwenza wa UWABATA akipangua Ombi kutoka kwa Mrembo.

20240308_193936.jpg

UWABATA IDUMU!

Umoja wa Wanaume Bahiri Tanzania (UWABATA).
 
Katika vitu vinaniudhi ni mtu kuniomba hela anaanza kwa kutamka "hata"

Mfano
"Nitumie hata 3000 basi ya vocha"
Huwa nachukulia kama ameiona hiyo pesa ni ndogo. sasa kama ni ndogo mbona yeye hana pumbaf zake!
The same to me
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom