Mwanachama wa UWABATA akitekeleza Ilani ya Chama

Katika vitu vinaniudhi ni mtu kuniomba hela anaanza kwa kutamka "hata"

Mfano
"Nitumie hata 3000 basi ya vocha"
Huwa nachukulia kama ameiona hiyo pesa ni ndogo. sasa kama ni ndogo mbona yeye hana pumbaf zake!
The same to me
 
Hahaha
 
Kama huwa anakupea wee mpe tu. tupunguze nongwa wakuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…