Mwanachuo aliyetoa taarifa ya kutohudhuria Supp bila kujibiwa anaweza kuendelea na masomo?

Mwanachuo aliyetoa taarifa ya kutohudhuria Supp bila kujibiwa anaweza kuendelea na masomo?

Habari,

Mtu aliyetoa taarifa ya kutohudhuria SUPPLEMENTARY lakini hakujibiwa mpaka muda wa mtihani huo unafika na kupita naweza kuendelea na masomo?
Mkuu next time soma prospectus ya chuon kwenu.......Ina majibu yote
 
Kwa kukushauri nextime ukiandika barua ya kuomba special......we ndo una shida mkuu unatakiwa ufatlie thoroughly
 
Kama ulikosa special exam kunakuaga na second window ya special exams it depends na chuon kwenu.....ukikosa apo subiria mwakan.....itabidi upostpone
 
Ni ruhusa kwa njia ya barua ikiwa na viambata lkn kila akifuatilia hamna majibu sahihi
Ulitoa taarifa kwa nani kwa njia gani na je uliweka viambata na je ilikua taarifa au ruhusa?
 
Back
Top Bottom