Mwanachuo usomapo usisahau kutafuta connection kutoka nje

Mwanachuo usomapo usisahau kutafuta connection kutoka nje

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
122
Reaction score
186
NDUGU Mwana CHUO* Usomapo Usisahau kutafuta connection kutoka nje. Ili ujue Baada ya kumaliza chuo utafanya kazi gani.

Chuo kuna TIMETABLE LAKINI Haijasema uwe Unaenda chuo kila Dakika. Au Haina Maana uwepo chuo asubuhi Mpaka Jioni.

*Ule muda wa free ndio muda wa kujitafuta na Kufanya mambo ya EXTRA CURRICULUM.

Muwe na Masomo mema

BY
Me
SIR. LUGANO EDOM 🇹🇿
 
Back
Top Bottom