loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Average Division 1:16 pointsSuzzy
1.Shepu-A
2.Tako-A
3.Hips -A
4.Guu-A
5.Sura-B
6.Uigizaji-F
7.Ubunifu-F
Mimi simuoni kama muigizaji bali ni kama mwanamke anayetafuta madanga kupitia sanaa,sababu vigezo na sifa za uigizaji hana na hiki kitu ndicho kina iua bongo movie,hawangalii kipaji cha mtu bali mwonekano,matoke yao movie zao zinakosa ubunifu kila siku vile vile.Ila kwa uzuri ni mzuri haswa, ila uigizaji ana F.
Wadada wa miaka hii wale wanajiita maslei kwins ndo mikato yao hiyo millerkumbe ilibidi avae na sketi hapo...mm nimedhani yupo tayari. Mavazi yenu bwana nyie mnayajua wenyewe tu.
wanajiaibisha tu na hiyo mikato yaoWadada wa miaka hii wale wanajiita maslei kwins ndo mikato yao hiyo miller
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Umetoza mda wako kupakua picha za kupigia nyeto sio?
Atakuwa mwanachama hai kabisa huyu...Umetoza mda wako kupakua picha za kupigia nyeto sio?
Kutokujiamini na ulimbukeni ndo shida mkuuHuyu mtoto anajichubua, angalia magoti yake na viwiko vya mikono ni vyeusi tii! Ujinga wa wanawake wa Kibongo ndiyo huu, sijui kwanini hawaipendi rangi yao ya asili.
Wenyewe wanaona wamependeza balaa kumbe [emoji58][emoji58]wanajiaibisha tu na hiyo mikato yao
Hivi huyu si ndio anakuwaga na yule sam misago kipindi fulani hivi EATVSuzzy
1.Shepu-A
2.Tako-A
3.Hips -A
4.Guu-A
5.Sura-B
6.Uigizaji-F
7.Ubunifu-F
Mimi simuoni kama muigizaji bali ni kama mwanamke anayetafuta madanga kupitia sanaa,sababu vigezo na sifa za uigizaji hana na hiki kitu ndicho kina iua bongo movie,hawangalii kipaji cha mtu bali mwonekano,matoke yao movie zao zinakosa ubunifu kila siku vile vile.Ila kwa uzuri ni mzuri haswa, ila uigizaji ana F.
kizazi hiki ndoa zao sijui zitakuaje baadaeWenyewe wanaona wamependeza balaa kumbe [emoji58][emoji58]
We Ndio MjingaMods acheni hizo mimi niliiweka jukwaa la picha, sasa mmeileta huku kufanya nini? halafu mmebadilisha heading acheni ujinga.
Yaan sipendi picha mpaka inapoteza uhalisia ,angali kina beyomce wakipiga picha hata ngozi yake unaiona vyemaNtoto suzie filter anaziwezea kweli
Shangaa mle kuna visu ye kapenda haka jamani hahahahKweli kupenda kitu kingine,wale wadada walivo wazuri mle we ukampende huyu,,, hahaaa