Mwanadamu aliumbwaje? I just want to know

Kakende

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
2,741
Reaction score
1,232
Kutokana na sperm/mbegu za uzazi
Qur'an 16:4
He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer!

Binadamu kaumbwa kwa udongo

Qur'an 15:26
We created man from sounding clay, from mud moulded into shape;
Kaumbwa kwa vumbi
Qur'an 3:59
The similitude of Jesus before Allah is as that of Adam; He created him from dust, then said to him: "Be". And he was.

Binadamu katoka kusikojulikana
Qur'an 19:67
But does not man call to mind that We created him before out of nothing?

Kutokana na damu iliyoganda
Qur'an 96:2

Created man, out of a (mere) clot of congealed blood:
Kutokana na maji
Qur'an 21:30

Kutokana na maji

Qur'an 21:30

Do not the Unbelievers see that the heavens and the earth were joined together (as one unit of creation), before we clove them asunder? We made from water every living thing. Will they not then believe?

Kutokana na sperm/mbegu za uzazi
Qur'an 16:4
He has created man from a sperm-drop; and behold this same (man) becomes an open disputer!

Binadamu kaumbwa kwa udongo

Qur'an 15:26
We created man from sounding clay, from mud moulded into shape;
Kaumbwa kwa vumbi
Qur'an 3:59
The similitude of Jesus before Allah is as that of Adam; He created him from dust, then said to him: "Be". And he was.

Binadamu katoka kusikojulikana
Qur'an 19:67
But does not man call to mind that We created him before out of nothing?

Kutokana na damu iliyoganda
Qur'an 96:2

Created man, out of a (mere) clot of congealed blood:
Kutokana na maji
Qur'an 21:30
Soma biblia MWANZO sura ya KWANZA. Na si vinginevyo. Close thread.
 
Mkuu hii dini imebumbwa, utaumiza kichwa bure kwa kusoma hicho kitabu, mara kuumbwa kwa sperm, mara damu etc. Waachie wenyewe
 
Inamaana siku zote hizo umeishi duniani kumbe hujui uliumbwaje?
We ni dini gani by the way.
 
Ooyooo msimlamu kama unaweza jibu na kama huna kaa kipya usijazee ukurasa ni tatizo lake kwa kuipa kisogo elimu na kungoja serikali ndo impe hiyo elimu
 
Alhamdulillah.
Najua umeshindwa kutambua ndani ya Qur'an kuna sayansi ya uumbaji ambayo Mwenyezimungu ameilezea kitaalam hatua kwa hatua ili kumuonyesha mwanadamu utukufu na uwezo wa uumbaji wa Mwenyezimungu.

1.Ungetafakari kutoka manii,pande la damu,pande la nyama,mfupa,na mfupa kuvikwa nyama ndani ya hayo jibu la maswali yako yote lipo hapo.
2.Qur'an hueleweka kwa wenye akili tu.
Kama umeshindwa kujua uhusiano wa vumbi na udongo kwa kweli inahitaji muda mrefu sana wa kukuelimisha mpaka uelewe kwamba kilichokusudiwa ktk vifungu/aya zote ulizokopi ni kitu kimoja ila kimeelezwa kwa namna tofauti kulingana na matukio.
Mfano,atakavyoelezwa mtu mchamungu ni tofauti atakavyoelezwa mtu mwenye kibri,dharau.

Angalizo:Kitabu cha Qur'an hakisomwi kama unavyosoma magazeti ya udaku.
 
Soma biblia MWANZO sura ya KWANZA. Na si vinginevyo. Close thread.

kama unataka kweli kujua basi utaelimishwa. ila naomba usiwe biased kabla ujapewa majibu sahihi. soma kwa umakini attachment ifuatayo pia kuna aya nyingi sana zinazoeleza kuumbwa kwa ADAM na BIN ADAM KULIKUWAJE? ambazo hukuziweka
 
Attachments

Ni vizuri ukaisoma Qur-ani ikiwa kichwa chako hakija umizwa kabla...uumbaji ndaji ya Qur-ani umeelezea vizuri wala hauna mashaka...Pia si vyema ukaisoma Qur-ani ukiwa unatoka kwenye semina za kina Lukuvi....

Wacha nikupeni mtiririko mzima wa uumbaji wa Binadam...kitendo cha mtoa mada kuchota aya kule na huku hakikua na lengo la kuelimisha zaidi ya kupotosha...nawaomba muhudhurie darsa hapo chini..

23:12to top

23_12.png
Sahih International
And certainly did We create man from an extract of clay.

Swahili
Na kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo.

23:13to top

23_13.png
Sahih International
Then We placed him as a sperm-drop in a firm lodging.

Swahili
Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.

23:14to top

23_14.png
Sahih International
Then We made the sperm-drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah , the best of creators.

Swahili
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.

23:15to top

23_15.png
Sahih International
Then indeed, after that you are to die.

Swahili
Kisha hakika nyinyi baada ya hayo mtakufa.

Nafikiri mtakua na akili za kutosha kuelewa somo la hapo juu bila ya ufafanuzi...
 
Aposema "Tukamuumba" hapa anamaanisha alimuuba akiwa na nani!!?
 
Kwa masikitiko makubwa elimu hii natoa kila siku....Ni kwamba Qur-ani imekuja kwa Lugha ya Kiarabu...kwa Lugha ya Kiarabu Mwenye uwezo anapotaka kuonyesha uwezo alionao hutumia wingi hata kama yuko peke yake...Kwa kiingereza hii inaitwa "Royal Plura" Wingi wa ki mamlaka...Kama vile sisi waswahili tunaposema serikali ina mono Mrefu...hapa huwa hatumaanishi mkono wenye vidole vitano...bali ni uwezo ambayo serikali inayo..Kwa hio mfanyaji Ni Mwenyezi Mungu Peke yake..ila anataka kuonyesha Mamlaka alionayo...
 
Jamani naomba tumsaidie binti aitwae Mwanaidi ameungua kwa ajali ya Moto hali yake si nzuri anatakiwa kwenda India pesa hana.
 
Ni vizuri ukaisoma Qur-ani ikiwa kichwa chako hakija umizwa kabla...uumbaji ndaji ya Qur-ani umeelezea vizuri wala hauna mashaka...Pia si vyema ukaisoma Qur-ani ukiwa unatoka kwenye semina za kina Lukuvi....

Wacha nikupeni mtiririko mzima wa uumbaji wa Binadam...kitendo cha mtoa mada kuchota aya kule na huku hakikua na lengo la kuelimisha zaidi ya kupotosha...nawaomba muhudhurie darsa hapo chini..

23:12to top

23_12.png
Sahih International
And certainly did We create man from an extract of clay.

Swahili
Na kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo.

23:13to top

23_13.png
Sahih International
Then We placed him as a sperm-drop in a firm lodging.

Swahili
Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.

23:14to top

23_14.png
Sahih International
Then We made the sperm-drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah , the best of creators.

Swahili
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.

23:15to top

23_15.png
Sahih International
Then indeed, after that you are to die.

Swahili
Kisha hakika nyinyi baada ya hayo mtakufa.

Nafikiri mtakua na akili za kutosha kuelewa somo la hapo juu bila ya ufafanuzi...

Maneno mazito haya...yamenisisimuwa mwili... had Mohamed spoken this ?
 
Muhammadi amefundishwa na Malaika Jibril(Sio maneno yake mkuu!!)...Jibril alipewa ujumbe huu na Mwenyezi Mungu... aulete kwa Muhammad na Muhammad aulete kwa walimwengu...Ndio kazi ya Mitume mkuu! na hii ndo neema ya Mwenyezi Mungu kutuletea Mtume huyu....3:164to top

3_164.png
Sahih International
Certainly did Allah confer [great] favor upon the believers when He sent among them a Messenger from themselves, reciting to them His verses and purifying them and teaching them the Book and wisdom, although they had been before in manifest error.

Swahili
Hakika Mwenyezi Mungu amewafanyia wema mkubwa Waumini vile alivyo waletea Mtume aliye miongoni mwao wenyewe, anaye wasomea Aya zake, na anawatakasa, na anawafunza Kitabu na hikima, ijapo kuwa kabla ya hapo walikuwa katika upotovu ulio wazi.

Mkuu Najua nimekujibu vizuri ila si vibaya nikakupa nyongeza..2:97to top

2_97.png
Sahih International
Say, "Whoever is an enemy to Gabriel - it is [none but] he who has brought the Qur'an down upon your heart, [O Muhammad], by permission of Allah , confirming that which was before it and as guidance and good tidings for the believers."

Swahili
Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako(Muhammad) kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

2:98to top

2_98.png
Sahih International
Whoever is an enemy to Allah and His angels and His messengers and Gabriel and Michael - then indeed, Allah is an enemy to the disbelievers.

Swahili
Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri.

Jamani naomba tumsaidie
binti aitwae Mwanaidi ameungua kwa ajali ya Moto hali yake si nzuri
anatakiwa kwenda India pesa hana.

aise kuna dawa flani ya majani unamkamulia maji yake haichukui muda mkuu au kaungua sanaa?
 
Ni vizuri ukaisoma Qur-ani ikiwa kichwa chako hakija umizwa kabla...uumbaji ndaji ya Qur-ani umeelezea vizuri wala hauna mashaka...Pia si vyema ukaisoma Qur-ani ukiwa unatoka kwenye semina za kina Lukuvi....

Wacha nikupeni mtiririko mzima wa uumbaji wa Binadam...kitendo cha mtoa mada kuchota aya kule na huku hakikua na lengo la kuelimisha zaidi ya kupotosha...nawaomba muhudhurie darsa hapo chini..

23:12to top

23_12.png
Sahih International
And certainly did We create man from an extract of clay.

Swahili
Na kwa yakini tumemuumba mtu kutokana na asli ya udongo.

23:13to top

23_13.png
Sahih International
Then We placed him as a sperm-drop in a firm lodging.

Swahili
Kisha tukamjaalia awe tone ya mbegu ya uzazi katika kalio madhubuti.

23:14to top

23_14.png
Sahih International
Then We made the sperm-drop into a clinging clot, and We made the clot into a lump [of flesh], and We made [from] the lump, bones, and We covered the bones with flesh; then We developed him into another creation. So blessed is Allah
, the best of creators.
Swahili
Kisha tukaiumba tone kuwa damu iliyo ganda, na tukaiumba damu kuwa pande la nyama, kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama. Kisha tukamfanya kiumbe mwengine. Basi ametukuka Mwenyezi Mungu Mbora wa waumbaji.

23:15to top

23_15.png
Sahih International
Then indeed, after that you are to die.

Swahili
Kisha hakika nyinyi baada ya hayo mtakufa.

Nafikiri mtakua na akili za kutosha kuelewa somo la hapo juu bila ya ufafanuzi...

Miungu iko mingapi? hapo kwenye best of creators
 
Uumbaji huo uko ki binadamu zaidi. Mara sperrm, Pasipojulikana, tone la damu, udongo, vumbi. Which is which?
 
Back
Top Bottom