MwanaFA anatufokea kwa kuonesha magari makali. Sanaa ilimlipa au chenji za ukarabati wa Uwanja wa Mkapa?

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Nimeona clip moja mtandao, ikionesha kupostiwa na Msanii na Naibu waziri wa Michezo Hamis Mwijuma (MwanaFa) akionesha magari makali ya mwaka wa mbele kabisa, haya magari ni yale ya bei kubwa kubwa tu tena yakiwa kwenye maegesho yanakula kiyoyozi aka full kipupwe.

Yes, MwanaFA ni msanii mkubwa mwenye mafanikio katika sanaa, pia ikumbukwe yeye pamoja na AY walilipwa mabilioni ya shilingi na Tigo wakati huo hivyo ukwasi si shida.

Tatizo linakuja, kwanini sasa akiwa kwenye siasa ndo aonesha haya mafanikio huku kukiwa na tuhuma za upigaji mkubwa wa pesa kwenye ukarabati wa uwanja wa Mkapa?

MwanaFA aliwahi sema 'Tafuta sana pesa ila usipige nazo picha', Pesa si matako kwamba kila mtu anazo

Your browser is not able to display this video.

Ila ni wivu tu wakuu, sina kingine.

Pia soma > Serikali yakamilisha ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa Bilioni 31.3
 
Hizo License plates zinasoma jina lake? Ebu tuanzie hapo kwanza.
 
Hawezi kuwa na hizo ndinga zote zake, hata awe mwizi kiasi gani.
Sio zakee.
Waziri au naibu waziri ni watu wakubwa saana nchi hii.... labda ujitie utu ila ukitaka kuwa bilionea miaka miwili inatosha tu.
 
Wana siasa wa Tz ni wezi lakini pia ni washamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…