MwanaFA anatufokea kwa kuonesha magari makali. Sanaa ilimlipa au chenji za ukarabati wa Uwanja wa Mkapa?

Alafu hii tabia walishwa katazwa na chama kamba inaleta picha mbaya na kuamsha raia walio lala fofo , kwamba siasa ni biashara kubwa sana
 
Acheni fikra zenu za kipuuzi zakuona kila mtu aliyefanikiwa ni mwizi, Mnataka kuyafanya maisha kuwa magumu nyinyi wenyewe ishi kwa kipato chako Mungu alichokujaalia.
 
Tunajua mgao wao ulivyotembea ukarabati wa uwanja Taifa....
 
Yuko sahihi pesa sio makalio kwamba Kila mtu anazo we huoni AY na yeye ameanza kua chawa ghafla? Wanajua wanachokifanya ukipata nafasi piga pesa ya kutosha
 
GT
Watu.hawataacha kukarabati Benjamini mkapa maana huko.kuna maokoto tena hayana mwenyewe kabisa.

Check dogo na yard ya magari ya kifahari. Africans politicians are st**pd..

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Na Msigwa pia itakuwa anafaidi sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…