Mwanafa, dully na skendo ya kucopy wimbo...Dully atukana redioni


hivi hakuna uwezekano wa sheria kuwatia adabu hawa watukanaji?
 
sawa baba johniiii tumekuelewa....! nyie si ndo watangazaji wasomi !
Namnjua kuuliza kisomi.....!
 
Dully ndo shoga. Walianza kumshughulikia tangu enzi zile anarembua na mackdizo kwenye track ya sugarmamy. Soudy Brown jembe.
 
Achebi kuwatetea wafu fm,
Mtangazaji anapataje ajira ya utangazaji pasipo kuwa na vyeti vya taaluma ya fani hiyo??
Mtu hajasomea utangazaji halafu unampa ajira ya utangazaji?
Hawajui msingi wa taaluma ya kazi zao ndio maana watangazaji wake hawana nidhamu, sababu kazi wanapeana kishikaji kishikaji,
Mbona hatusikii watangazaji wa KISS FM, RFA, MAGIC FM, TIMES FM, PASSION FM na redio zingine wakitukanwa katika interview zao??
Kika siki WAFU FM ndio wanaotukana lazima kuna tatizo
 
Huyo jamaa ana tatizo kwanini ni yeye kila siku.
 
Itakuwa ni clouds fm!

The fact is wana tabia za kichoko sana!
Kwa hili sidhani kama tutakuwa fair kusema samaki mmoja akioza. Tuwe wakweli kila binadamu ana mapungufu yake. Mi napenda ubunifu wa hawa jamaa (I stand to be corrected) Dully na wenzake ni wavivu na ndo maana hawana maendeleo ukilinganisha na wasanii walioko Uganda na Kenya (walioko kwenye game ukilinganisha kwa umri) Nimesikiliza kwa makini nikaona hapo ni mwisho wa copy n paste. Pole Dully, bongofleva haikupendi, nyie ni bazoka ya kufa mtu hamtaendelea ng'o kwa kuiga
 
Bongo Fleva wanakuwa kama waimba taarabu.
 
ndo kina nani hao?

ni vijana machachari sana hapa daslaam kwa kuigiza maish,wana majina makubwa kwa level zao lakina cha kusikitisha pamoja na mbwembwe zote ni masikini wa kutupwa wa kipato..sasa ili waende sambamba na ukubwa wa majina yao wameamua kugeuza matundu yao ya nyuma kama mtaji...watoto wa magorofani almaalufu.
 
Hivi mtu mwenye akili timamu unapataje ujasiri wa kutukana wakati unafahamu upo hewani, na watanzania kibao wanakusikiliza? Pia nyie mnaowatuhumu wafanyakazi wa clouds kuwa ni mashoga mnaweza kuthibitisha? Epuka kumzushia mtu jambo la kumkwaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…