MwanaFA na AY na mabilioni ya Tigo

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,034
Reaction score
2,624
Habari zenu wandugu,

Miezi michache iliyopita ziliwahi kusambaa habari kuwa MwanaFA na AY wameshinda kesi mahakamani na kampuni ya Tigo imeamrishwa kuwalipa bilioni kadhaa pesa za kitanzania..Na baada ya hapo akasikika mwanaFA akisema hilo ni fundisho kwa makampuni mengine wanaowanyonya wasanii...

Siku chache baadae nikasikia tigo wamekata rufaa kuwa kiasi wanachotakiwa walipe hakilingani na thamani halisi ya nyimbo za hao majamaa...

Baada ya hapo ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....

Naombeni kujuzwa, hivi hawa jamaa walilipwa ule mpunga?...
 
Uzi wako haujakamilika kwasababu hujaelezea hasa kosa la tigo ni lipi? Kupiga wimbo wa FA na AY bila ruhusa yao au?
 
Sasa hii ww inakuhus nn?? Tumia muda wako kufikir namna ya kuweza kuushinda umaskini..
 
Sasa hii ww inakuhus nn?? Tumia muda wako kufikir namna ya kuweza kuushinda umaskini..
acha ujinga unaye mjibu haumjui ni nani labda ni ay huu mtandao umesaidia wengi kushinda matatizo mbalimbali
 
Uku jf panatisha sana asee mpaka somtimes unaeza ogopakuchangia coz unahis uku watu wako njema sana kiuwezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…