MwanaFA na GF wake

Ndo nani hawa?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kama wanafanana vile.
 
Hawa ni maseneta wa majimbo gani hapa marekani?
 
hongera fa please dont allowed ruge to controll your brain even if money talk.
 
Kwani mgonjwa wa Sikoseli anaruhusiwa "kugonga menu?"
 
Kuna jamaa alidai m-Fa hapendezagi.na haka kadem kamekanusha kumgaia jamaa bujibuji.
 
Kuna jamaa alidai m-Fa hapendezagi.na haka kadem kamekanusha kumgaia jamaa bujibuji.

Mbuzi hana sura nzuri wala ya tabasamu lakini ukimvisha miwani halafu ukampiga picha kama elfu ili upate moja nzuri!hakika utaipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…