Wildlifer
JF-Expert Member
- May 12, 2021
- 1,884
- 5,235
Hii dunia ina mambo complicated sana. Ila hii michezo ya kusingizia mimba inafanyika sana kwa ushirikiano wa wazazi wa binti na mtia mimba halisi. Wazazi wanakatiwa chao na jamaa, halafu binti anapangwa jinsi ya kusema. Bahati mbaya na Polisi wetu bongo weledi ni tatizo, mtu anakula nyundo 30.