Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 1,033
- 2,307
alienda na wenzake ziwani katika maeneo ya Sweya na baada ya muda aliamua kuanza kuogelea pasipo kujua urefu wa kina cha maji na hivyo kupelekea kuzama.
Maelezo mawili haya jaendana.Fr. Japhet Njaule amesema kijana huyo na vijana wenzie wawili walienda ziwani kwa ajili ya kupiga picha, ndipo kijana huyo alizama na kupotelea ndani ya maji.