Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 513
Mwanafunzi wa shule ya msingi Kakuyu huko kanda ya ziwa amefukuzwa
shule kwa kumuuliza mwalimu wake wa
Kiingereza ambaye pia ni mwalimu mkuu wa shule hiyo kuwa dagaa kwa Kiingereza anaitwaje? Mwalimu huyo
aliposhindwa
kujibu swali hilo
alihamaki, akamcharaza mtoto huyo
bakora sehemu
mbalimbali za mwili
wake na kumsababishia
maumivu makali mwilini mwake na akahitimisha
kwa kumwandikia barua ya kumfukuza shule kwa madai ya utovu wa nidhamu
na kutumiwa kama kibaraka wa
maadui wa mwalimu huyo.
Habari hii sikuiamini lakini jamaa kaniambia ni kweli tusubili uthibitisho zaidi!
My Take:
jamani elimu yetu
Tanzania ni
wapi inakoelekea?
Je tuna walimu ama tuna maamuma?