Boniface Evarist
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 1,147
- 513
Ndiyo hivyo mkuu! kama mwalimu ni F4 with division 4 or 0 unategemea kunatofauti kubwa na aliyeishia darasa la saba? Hizo ndo features za walimu wengi wanaotufundishia watoto wetu, wengi hawana uwezo. Wakati tunahitaji graduates wafundishe hadi shule za misingi, lakini hilo ni kama ndoto za kufikiria kulikumbatia jua.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Kakuyu huko kanda ya ziwa amefukuzwa
shule kwa kumuuliza mwalimu wake wa
Kiingereza ambaye pia ni mwalimu mkuu wa shule hiyo kuwa dagaa kwa Kiingereza anaitwaje? Mwalimu huyo
aliposhindwa
kujibu swali hilo
alihamaki, akamcharaza mtoto huyo
bakora sehemu
mbalimbali za mwili
wake na kumsababishia
maumivu makali mwilini mwake na akahitimisha
kwa kumwandikia barua ya kumfukuza shule kwa madai ya utovu wa nidhamu
na kutumiwa kama kibaraka wa
maadui wa mwalimu huyo.
Habari hii sikuiamini lakini jamaa kaniambia ni kweli tusubili uthibitisho zaidi!
My Take:
jamani elimu yetu
Tanzania ni
wapi inakoelekea?
Je tuna walimu ama tuna maamuma?
Source???????

jf........................
siamini kama mwl alimcharaza kwa jambo kama hilo,pengine muliza swali aliuliza kwa namna tofauti ya kejeli.Pia DICTIONARY zipo mwanafunzi atafute na si kila kitu wakuuliza ni mwl kumbuka alichouliza mwanafunzi ni msamiati.
Mwalimu ana matatizo.
jamani wadau mmechangia mengi,je kwani hao dagaa wanaitwaje?au na nyie vihiyo?
Basi tuwaite "Sardine" nadhani yatosha.siulisha ambiwa ni small fish hapo juu..