Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 815
- 1,983
Je, mwanafunzi alie-graduate chuo cha nje ya nchi anakua more potential na kupewa kipaumbele kwenye ajira tofauti na alie graduate ndani ya nchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je, mwanafunzi alie-graduate chuo cha nje ya nchi anakua more potential na kupewa kipaumbele kwenye ajira tofauti na alie graduate ndani ya nchi?
Kipaumbele ni kutoboa interview nje ya hapo uwe na connection hata kama umesoma wapiJe, mwanafunzi alie-graduate chuo cha nje ya nchi anakua more potential na kupewa kipaumbele kwenye ajira tofauti na alie graduate ndani ya nchi?
Nani aliyekudanganya bwana mdogo?! Endelea kushinda na kukesha kutongoza mishangazi humu, matokeo utayaona... kariakoo wamejaa vijana tele wana Degree na vi-GPA vyao vya ki-gentleman (2.00-2.9)Mimi naona hamna tofauti chamsingi uwe na ujuzi mkubwa kwenye fani husika.
Degree na vi-GPA vyao vya ki-gentleman (2.00-2.9)
🤣🤣🤣🤣Eti GPA ya kigentle-man , mbona watu wana G.P.A zaidi ya 3.5 na hawana kazi?Nani aliyekudanganya bwana mdogo?! Endelea kushinda na kukesha kutongoza mishangazi humu, matokeo utayaona... kariakoo wamejaa vijana tele wana Degree na vi-GPA vyao vya ki-gentleman (2.00-2.9)
Tumia muda wako, fuatilia C.E.O's wakubwa na ma-manager wa makampuni makubwa binafsi na ya serikali uone kati ya hao walio wengi na wachache wapi walisoma nje 😊😊😊
Kama unasoma hapa KAZANA NA SHULE, WACHA UJINGAUJINGA NA KUPOTEZA MUDA UPATE PASSMARK NZURI WALAU ITAKUFADHILI KESHO NA KESHOKUTWA NA MATUNDA UTAYAONA. OTHERWISE USUBIRI CONNECTION ZA NDUGU, WAZAZI NA JAMAA WASIO NA ROHO ZA KOROSHO. KAA CHINI JITATHMINI NDUGU HAO WENYE ROHO MWANANA, TULIVU NA NZURI UNAO?! HAKUNA CONNECTION FROM NOWHERE MTU HAKUJUI, OTHERWISE ULIWE KIBOGA! (KWA MTOTO WA KIKE) AU UTOE RUSHWA NA HAPO NI 50/50
Swali kabla hujaswaliwa 😊
hapo kwenye GPA soma tena majibu tayari yapo. Na kuna mtu ana 2.00 yupo bandarini, TRA na wizara nyeti. Tunao humu vijana... wanafanya madudu tu!🤣🤣🤣🤣Eti GPA ya kigentle-man , mbona watu wana G.P.A zaidi ya 3.5 na hawana kazi?
Imagine kazi inataka mtu mmoja na mpo 200.
Kwasasa watu wanabidi wasome course za computer science au software engineering, zaidi ya hapo jiandae kuteseka.
Hilarious.hapo kwenye GPA soma tena majibu tayari yapo. Na kuna mtu ana 2.00 yupo bandarini, TRA na wizara nyeti. Tunao humu vijana... wanafanya madudu tu!
Ukimpa kazi akiifanya lazima urekebishe wewe mwenyewe tena huyohuyo uliyempa, ukiuliza unaambiwa mpwa wa fulani au mtoto wa fulani... HOHEHAHE naishia kufyata na kuzirudia kazi zangu taratiiiibu nikishushia na chai ya maziwa ya bure ya ofisi. Neng'eneka utoke wewe mwenye Masters na umri ushasogea aje mwenye GPA ya 2.00 aendeleze gurudumu 😊👍🏾
sasa gpa na ujuzi wapi na wapiNani aliyekudanganya bwana mdogo?! Endelea kushinda na kukesha kutongoza mishangazi humu, matokeo utayaona... kariakoo wamejaa vijana tele wana Degree na vi-GPA vyao vya ki-gentleman (2.00-2.9)