Mwanafunzi aliyepοtea mlima Kwaraa apatikana. Adaiwa alikuwa akila majani na maji tu

Mwanafunzi aliyepοtea mlima Kwaraa apatikana. Adaiwa alikuwa akila majani na maji tu

EricMan

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Posts
3,050
Reaction score
5,420
Duhhh....
A little bit of mercy makes the world less cold and more just....
 
Dogo apelekwe jeshini sasa 🤒🤒🤒, Anatufaa huyo kwenye security ya Taifa.
 
Mwanafunzi anayefahamika kwa jina la Joel Mariki (14) anayesoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari ya Bagara iliyopo wilayani Babati mkoani Manyara ambaye alipotea Jumamosi ya Septemba 14, 2024 katika Mlima Kwaraa, amepatikana akiwa hai.

CC: WEPESI TV
Hivi hatuna helicopter za ku-search juu hapo kwenye msitu kama zile wanazotafuta simba?
 
Back
Top Bottom